AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
Nisikunyime haki yakoBila shaka hii ni match ya kwanza Liverpool anabahatisha kufikisha pass 700
Mnaishia 500 tu
Hebu jionee mwenyewe
Nisikunyime haki yakoBila shaka hii ni match ya kwanza Liverpool anabahatisha kufikisha pass 700
Mnaishia 500 tu
Ulimkuta hajakaa sawa tena ulikuwa nyumbani
Nimesema ni mara ya kwanza mnafikisha pass 700 si niko sahihiNisikunyime haki yako
Hebu jionee mwenyeweView attachment 875555View attachment 875556View attachment 875557View attachment 875558View attachment 875559View attachment 875560
Ok uko sahihiNimesema ni mara ya kwanza mnafikisha pass 700 si niko sahihi

Ukikutana na sisi hutapiga hata 400Ok uko sahihi![]()

Hiko cha kwanzaUkikutana na sisi hutapiga hata 400![]()

Ukikutana na sisi hutapiga hata 400![]()
Ukikutana na sisi hutapiga hata 400![]()
Mechi ya leo timu haikuwa kiwango chake kama kulikuwa na uchovu fulani na baadhi ya wachezaji hawakuwa kwenye ubora wao tujipange mechi ijayo
Gemu huwa zinatofautiana. Usikariri mpira!Pale Washabiki Wa Chelsea Kina Ollachuga Oc Walipodai Liverpool imefunga Kibonde.. ↓↓↓
View attachment 875546
Pale Wanapokutana Nacho Wao Hicho Kibonde Mambo Yakawa Hivi ↓↓↓
View attachment 875550
Hahaha Klopp?? Msimu uliopita nilikuwa m'bovu lakini hukunifunga. Sasa msimu huu usiongee kabisa. Halafu una kariri sana mechi mkuu.Na Huyo Unayejipanga Naye Umjue tu Ni Nani!!!
Hamna mtu anakariri kama wewe mkuu. Kule jukwaa la liverpool huwa unakuja kutoa mikaririo yako alafu mwisho wa siku mnapotea.Hahaha Klopp?? Msimu uliopita nilikuwa m'bovu lakini hukunifunga. Sasa msimu huu usiongee kabisa. Halafu una kariri sana mechi mkuu.
