Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio mbaya...kuna Liver wa kumtolea machungu.
Nakuhakikishia katika hizi mechi mbili tarehe 26 na 29. Ukijitahidi sana utapata sare moja.

Kama namuona bwana mafegi akifanya kuwapumzisha akina Hazard tarehe 26 alafu akaishia kupigwa mkono na kuwaweka tarehe 29 akapigwa tena mkono mwingine.

Yajayo yanaleta hamasa.
 
Hongereni Chelsea Kwa Kuweza Kuongoza Ligi Kwa Wiki Moja Kweli Mumeonesha Ujasiri Wa Hali Ya Juu Manake Si Jambo dogo Kuongoza Ligi Kwa Siku 7.
 
Tumefanya kila kitu Sema haikuwa bahati
Yule kipa mungu anamuona
Screenshot_20180923-172556.jpg
 
Huyu Hajatenda Haki Kwa Kweli! Yani Hajampa Penalty Hazard Kwa Makusudi!!! Naona Kama Hatakai Hazard Afunge Magoli 30+ tuliyoahidiwa.
 
Hongereni Chelsea Kwa Kuweza Kuongoza Ligi Kwa Wiki Moja Kweli Mumeonesha Ujasiri Wa Hali Ya Juu Manake Ni Jambo dogo Kuongoza Ligi Kwa Siku 7.
Kama ulivyowaeleza wiki iliyopita Walipewa uongozi wa siku 7. Period.
 
Hii match ni bahati tu imekosekana
Hakuna wa kulaumiwa
Sifa zimwendee kipa wa west ham
Wa kulaumiwa kocha.

It is high time aanze kumtumia Hazard kama false striker. Tena itamsaidia yeye kutokimbia sana huku nyuma akachoka.

Itampa nafasi hata dogo CHO kucheza...kwa sasa anaweza kutumia Pedro-Hazard-Willian.

Sub wawe hao kina Zappacosta, Moses na Hudson Odoi.
 
Bila shaka hii ni match ya kwanza Liverpool anabahatisha kufikisha pass 700
Mnaishia 500 tu

Sasa Mkuu sisi Tunayepiga Pasi 500 na Tukamfunga West Ham 4 - 0 , Na wewe unayepiga Pasi 700 ukaishia 0 - 0 nani Hapo Ni Bora?

Bora Tupige Pasi 4 tu Tupate Points 3 kuliko Kupiga Pasi 900 tukaishia Sare. Period.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom