Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Mnaanza visingizioHuyu Refa akichezesha match zetu huwa simpendi kabisa
Mnaanza visingizioHuyu Refa akichezesha match zetu huwa simpendi kabisa
Fowadi butu.japo kabelgiji kanaongoza ufungaji.Tuna tatizo la kubreak down opposition team. Tusipopata dawa stahiki, hali yetu itakuwa mbaya sana. Hope Sarri atanunua proven Striker come January. Imani yake kwa Morata na Giroud imeshindwa kulipwa sawasawa na muda wa kukubali hasara kwa Morata ufike tu sasa.
Yupo mitrovic mkuuFowadi butu.japo kabelgiji kanaongoza ufungaji.
Yermalenko kakosa header moja ilikua msumari kwenye jeneza la "sare ball"Dah mananiangusha sana wanangu WHU
Tutawafunga tu sio muda mrefu View attachment 875475
Mbona Morata mzuri mkuuJanuary we need to do something sokoni au kocha aamue kumchezesha Hazard kama false 9