Nimefurahi kocha amefanya maamuzi ya kumuweka Giroud mapema kabisa.Giroud kama kawaida kikosi cha leo View attachment 875429
Dah Anautovic cmuoni hata benchi yule mnyamaBeki kisiki, chuma, Nondo, msumari wa jahazi...nanga au ndimu mkata shombo Masuaku!
Siongei mengi..
Babu Zabaleta, Anautovic, Noble....
Watoto leo wanatoana jasho Westham na Chelsea.
Kakope na wengine hapo Fulham..Beki kisiki, chuma, Nondo, msumari wa jahazi...nanga au ndimu mkata shombo Masuaku!
Siongei mengi..
Babu Zabaleta, Anautovic, Noble....
Watoto leo wanatoana jasho Westham na Chelsea.
Una uhuru wa kuongeaKama Kawaida Yangu Huwa Natembelea Nyuzi kama Hizi na Matani Ya Hapa Na Pale..
NOTE: Sijatabiri Chochote Kuhusu Matokeo Ya Mchezo Huu Kwani Mimi si Mganga Wa Kienyeji Kama Ollachuga Oc , eden kimario na Southern Highland wanaotoa Matokeo Ya Liverpool Kabla Ya Match Kuanza.
Hili lirefa silipendi kabisaNaona Mumepata Refa Wa Man United Mike Deen Aliyekuwa Akishirikiana na Howard Webb pamona na Anthony Taylor Kumpa Ubingwa Ferguson ili Kuwaaminisha Watu Kuwa Manchester Ni Timu Kubwa.
Unaombea uendelee kukaa Hapo juuSafi WHU
Lets goooo!!!
Kama kawa, Na mkeka wangu piaUnaombea uendelee kukaa Hapo juu
