Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

79a78e2256782e945a6f4198e12e1436.jpg

huyu jamaa alitisha sana enzi zile yuko Swansea ila akapoteaga ghafla , one season wonder hawaishagi EPL
 
Haha ngoja wakati wao utafika. Mbele ya Sarriball hawatachomoka.

Nina uhakika.
Liverpool wanajua kuchonga sana, Hivi wakibeba ndoo watakuwaje?
Natamani Chelsea wawasiribe michezo yote mpaka waseme ndio mzee huku wakiwa wamepiga magoti
 
Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.
May ni mwaka kesho tu. Tutajua Nani yupo juu man city ama Liverpool. But I hope Chelsea will prove your wrong
 
Hahaha hahaha unachekesha kinoma ..wewe na timu yako ni wa kuonewa huruma aise. Kweli hujiamini kabisa mkuu.
Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.
 
Halafu Jengine Naona toka Ligi ianze Kuna Mashabiki Wanapost Kuhusu Salah tu! Vipi Kuna Kombe la Salah Linawaniwa au?

Naona Baada Ya Kuconcentrate na Analysis za Timu yenu Mumekuwa Mukijadili Ya Liverpool tu.

Kila Siku eti Salah ana magoli mangapi!!!!
Hivi Salah Kuna Mtu Chelsea anashindana nae au?
Raha ya mpira ushindi, magoli, kumiliki possession n.k historia tuwaachie mababu zetu.
 
Mimi Sishindana Na Chelsea pekee Bali Nashindana na Timu 19.... Lakini Nyinyi Munaforce ionekana Kama Mpinzani Wetu Mkuu Ni Chelsea Wakati Sisi Hatuna Kitu Hicho.
Sisi Chelsea kwetu Ni Timu Ya Kawaida tu Na Wala sio Mpinzani wetu.
Basi isiwe taabu baada ya game yetu ya jana..hata mimi naichukulia Liverpool kama timu ya kawaida sana ambayo zamani za mfalme Herode iliwahi kuwa timu kubwa Uingereza na Ulaya. Baada ya game zetu za mwezi huu wala hutaniona nikikufuatilia.

Oh and by the way, my rival ni timu ile tu ambayo inatishia kuwa juu yetu na Manchester city kwa sasa...so don't get big headed.
 
Halafu Jengine Naona toka Ligi ianze Kuna Mashabiki Wanapost Kuhusu Salah tu! Vipi Kuna Kombe la Salah Linawaniwa au?

Naona Baada Ya Kuconcentrate na Analysis za Timu yenu Mumekuwa Mukijadili Ya Liverpool tu.

Kila Siku eti Salah ana magoli mangapi!!!!
Hivi Salah Kuna Mtu Chelsea anashindana nae au?
Salah is our reject..a one season wonder.
 
Lampard moto mwingine bhana.
Lampard is one of the best attacking midfielder of all time in the World, halafu uchezaji wao umetofautiana kabisa. Wakati Hazard yeye ni mzuri kwenye ku drible, Lampard alikuwa best kwenye kufeed mipira hatari na pia kwenye kufunga mabao hasa yale yanayotokea kwenye imposible angles
 
Hivi Munaonaje Kulazimisha Upinzani Usiokuwepo?
Liverpool haijawahi na Wala Haitowahi Kuwa na Mpinzani Chelsea....

Our True Rival Ni Man United na Si Nyie..

Nyie Mpinzani wenu ni Fulham na Spurs...

Musiforce Kuandika Historian Ya Upinzani isiyokuwepo Wakati Timu Yenyewe imeanzishwa 2004.

Na Ninawashangaa Kukomalia Kushindana na Liverpool Wakati Ligi in Timu 20.

Sisi hatushindani na Nyinyi basi mukae Mukijua Kwamba Tunafocus game after game huku Tukimuangalia Kwa Karibu Man City na Sio Nyinyi.
Na sisi Chelsea tunamaajabu sana ya kutafuta upinzani na maiti aliyezikwa tangu 1990
 
Mimi Sishindana Na Chelsea pekee Bali Nashindana na Timu 19.... Lakini Nyinyi Munaforce ionekana Kama Mpinzani Wetu Mkuu Ni Chelsea Wakati Sisi Hatuna Kitu Hicho.
Sisi Chelsea kwetu Ni Timu Ya Kawaida tu Na Wala sio Mpinzani wetu.
You see

Hapo ndio tofauti ya Chelsea na Liverfool
Na mtachoka sana, kushindana na timu 19!!
A real hero hashindani na kila mtu
Sis tunashindana na Mancity tu, hao wengine ni kuwafundisha Sarrisball
 
Halafu Jengine Naona toka Ligi ianze Kuna Mashabiki Wanapost Kuhusu Salah tu! Vipi Kuna Kombe la Salah Linawaniwa au?

Naona Baada Ya Kuconcentrate na Analysis za Timu yenu Mumekuwa Mukijadili Ya Liverpool tu.

Kila Siku eti Salah ana magoli mangapi!!!!
Hivi Salah Kuna Mtu Chelsea anashindana nae au?
Hayo ni makapi yetu, nyie si ndio wale watoto wa mtaani kusubiri makapi ya wakubwa ndio survival yenu
 
Sasa Nimegundua Kuwa Kuna Baadhi Ya Washabiki Wa Chelsea Wanaumizwa Sana Na Salah Kwasababu Alitokea Kwao...

Hii Kauli ya One Season Wonder naomba Mwisho Wa Msimu Pia Muiseme..

Ukweli Usiopingika Ni Kuwa at the End of the Season Watakaokuwa Juu Kwa Magoli Ni Hawa Kane, Salah, Aguero na Lukaku.

Hao Moto Wa Mabua Kina Mitrovic na Wengine Watazima Soon na Kuwaacha Wenye Magoli wafanye yao.

Kuna Washabiki Wafata Upepo Fulani Hapa Baada Ya Mechi Ya Kwanza Kante Kufunga goli Walikuja na Uchambuzi Uchwara Wakasema Ujio Wa Joginho utamfanya Kante afunge Magoli Mengi! Sasahivi sijui Wamepotelea Wapi??

Time will tell! Utabiri Wa 30+ goals nitaomba uendelee angalau tufike January.
 
Hayo ni makapi yetu, nyie si ndio wale watoto wa mtaani kusubiri makapi ya wakubwa ndio survival yenu

Kama Nyinyi Mulivyochukua Makapi Yetu Torres, Benayoun, Meireles and the likes..
Happy?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom