eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Giroud ndani leo
Giroud ndani leo
Kuna mtu humu alisema Giroud ni mtu wa kismati, not true. Giroud ni aggressive player anapokuwa na mpira na hata anapokuwa hana mpira. MImi naona mtu wa kismati ni Morata kwa sababu yuko kimayai mno na hatumia akili ya ubunifu
Hahahha karibu kwenye chama kubwa.Naona Ulikuja Kunitania Sana Kule Kwahiyo Na Mimi Mara mojamoja nitakuja hapa Kukutania.
Wakuu gemu ni leo au kesho?
Ni janaWakuu gemu ni leo au kesho?
Wewe umeshapigwa Kimoja Kizuri Sana halafu unauliza game lini???