21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Matias Vecino hata wold cup alicheza UruguayWa Inter Milan ni nani?
Mimi nimesikia juu ya Christian Pulisic.
Matias Vecino hata wold cup alicheza UruguayWa Inter Milan ni nani?
Mimi nimesikia juu ya Christian Pulisic.
Na mbele yao ni;
Willian/Pedro
Hazard/Odoi
Morata/Giroud/Batshuayi.
Hadi dirisha litakapofungwa...
Halafu kiulizio tu...
Kwa mfumo wa sasa Zappacosta na Victor Moses wanahesabika ni defense bado ama wingers/attacking mids?
Simfahamu huyu....ngoja nimcheki youtube.Matias Vecino hata wold cup alicheza Uruguay
Kama Utafatilia Vizuri Ujio Wa Sanchez Pale Man United umeivuruga totally Career ya Martial na Rashford na Kubadili Mwelekeo Mzima Wa Mfumo Wa Timu.
Sasa ligi itakapoanza pia utakuja Kugundua Kuwa Ujio Wa Joginho utakuja Kuuwa Kwa Baazi ya Career za Wachezaji. Lakini Hili si tatizo kwasababu tunasema "SUCCESS REQUIRES SACRIFICES".. Kwahiyo ni Lazima Kocha Kuna Wachezaji Awasacrifice.
Siku Zote Usajili una FAIDA zake na HASARA zake.
Mimi kuna sehemu nina wasi wasi nayoChelsea kwa sasa tumekamilika . tunasubiri kubeba ubingwa tu.
Hilo halina ubishi.
Uyo dgo udsm umemwingia sana amesahau culture ya kwao Arusha.Huyu Nikki sio mtu wa Arusha kweli? Sijawahi kusikia watu wa maeneo hayo wakiwa na tatizo hili. Kama ni kweli basi hali inazidi kuwa mbaya...
Ulimuangalia juzi mechi ya Milan?Mimi kuna sehemu nina wasi wasi nayo
Sehemu ya ushambuliaji basi.
Kama morata atagain confidence basi sina shaka na hilo
Morata ni suala la muda tu ..lazima afiti kwenye mfumo wa Sarri.Mimi kuna sehemu nina wasi wasi nayo
Sehemu ya ushambuliaji basi.
Kama morata atagain confidence basi sina shaka na hilo
Juzi naona alipafom vizuri na akiendelea hivyo tutamuamin tuUlimuangalia juzi mechi ya Milan?
Anyway, leo tena tunayo nafasi ya kumuona...tukutane tena baadaye tumchambue.
Kwakweli hata asipokuwa mfungaji bora atakuwa na assist za kutosha...kiwango cha juzi kilikuwa kizuri, hajiangushi hovyo, stamina...Morata ni suala la muda tu ..lazima afiti kwenye mfumo wa Sarri.
Tutegemee Morata kuwa mfungaji bora wa ligi
Hasa kwenye swala la one on one akiwa na golikipa naona linamsumbuaga sanaKwakweli hata asipokuwa mfungaji bora atakuwa na assist za kutosha...kiwango cha juzi kilikuwa kizuri, hajiangushi hovyo, stamina...
Leo tena tunayo nafasi ya kuona improvements zake.
Haya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo
Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.

Nafasi yake kwa sasa wapo Willian na Pedro..unahisi bado atapata namba?Moses arudi kwenye nafasi yake huu mfumo wa Sari utamtupa bench
Lakini akijitahidi ku improve defensive skills zake anaweza kuwa kama Marcelo na Real Madrid.Moses arudi kwenye nafasi yake huu mfumo wa Sari utamtupa bench
Sidhani kama atapata nafasi labda ajitume sanaNafasi yake kwa sasa wapo Willian na Pedro..unahisi bado atapata namba?