Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo

Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.
Jitahidi kumuelewa tu usimnange. Hili tatizo naliona linazidi kukua siku hadi siku hapa Tanzania aisee.
 
ulikuja hapa na kusema mm muongo joginho anacheza no 6 nimekusaidia mtu aliyecheza nae pale Napoli sasa unakuja na mambo ya kamusi tatizo lako wewe ushabiki mbele kuliko kujua mpra
 
Jitahidi kumuelewa tu usimnange. Hili tatizo naliona linazidi kukua siku hadi siku hapa Tanzania aisee.
Kuna yule msanii wa Bongo fleva anayefanya PHD yake sasa hivi pia huwa anachanganya sana hizo R& L na S &Th, yaani kuna tatizo kubwaa
 
Msanii wa bongo flavor anayefanya phd? Sijamjua...but yeah ni tatizo kubwa kwa sasa. Ebzi hizo naishi Mbagala, majirani zangu walikuwa walimu wa sekondari, na wao walikuwa wanaongea na kuandika hivyo...sipati picha wanafunzi wao.

Anyway, nawaza pale kati...Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante.

Walau tunajua kocha anapendelea 4-3-3

Sasa hiyo mtu 3 kati itakayo kuwa perfect ni ipi???? The million dollar question...

Kwa hizi mechi za pre season wamecheza Jorginho, Barkley na Fabregas.

Second half ikawa Jorginho, Bakayoko na Fabregas kama sikosei ambapo Bakayoko akatoa pasi mbovu ndo Milan wakasawazisha.
 
Msanii ni Niki wa Pili, najua Ngolo na Jorginho lazima watakuwa first eleven maana yake anatakiwa mtu wa tatu ambaye ni attacking zaidi, sio Bakayoko , fabregas ni mzuri ila he is slow akiwa na mpira, sijamuona Barkely hapa pre season ila naamini hiyo spot ni yake labda azingue mwenyewe.. tusimsahau pia Loftus, ameimprove sana...
 
Ayaaaa umeona sasa..kuna na Loftus Cheek. Dah kazi ipo.

Fabregas atang'aa sana kama Kante na Jorginho watacheza pamoja kwa uelewano mzuri...maana watampunguzia sana kazi ya kukaba. Ross Barkley atategemea sana uwezo wa Fabregas msimu huu. Ila kama Barkley ndiye mbadala wa Fabregas basi tunahitaji kutafuta mtu mwingine zaidi. Loftus Cheek labda? Sijui...ila mtu callibre ya KDB hivi ndo aje kumrithi Fab.

Hao Barkley na Loftus wataingia kuwapumzisha Kante na Jorginho kwa mtazamo wangu.
 
Kule mbele naona Pedro ana shine wakati Willian na Hazard wakiwa mapumziko...msimu ujao tutahitaji kununua attacking wingers. Ila Hudson Odoi, Pedro, Hazard na Willian ni options tosha kabisa kwa mtazamo wangu. Ni suala tu la wao kulink vyema na malekezo ya kocha..sioni ulazima sana wa kununua mtu.
 
Kwa striker...kama Morata akicheza hivi alivyocheza game ya Milan...basi yeye na Giroud wanatosha kwa msimu huu. Sijui kama Batshuayi atauzwa ama la...ila na yeye akijitahidi atachukua mikoba ya Giroud msimu ujao. Sidhani kama Tammy Abraham atatoboa kwenye timu hasa msimu huu. Alikuwa afadhali zaidi yule Traore kuliko Tammy (kwa mtazamo wangu).
 
Defence tuna mabeki wa kutosha ninaamini..ni motisha tu kwa wachezaji...kw Europa na ligi za ndani..sidhani kama msimu huu tunahitaji kufanya usajili mkubwa sana. Msimu ujao ni wa muhimu sana maana mikataba ya wengi inakata na wengi wao ni ambao umri umesonga kina Cahill, Luiz, Pedro, Giroud nk nk...msimu ujao ni critical sana kufuatilia usajili tutakaofanya.

Msimu huu ni kocha tu kucheza na wachezaji waliopo...ushindi upo kwetu. #letshaveFun
 
Ayaaaa umeona sasa..kuna na Loftus Cheek. Dah kazi ipo.

Fabregas atang'aa sana kama Kante na Jorginho watacheza pamoja kwa uelewano mzuri...maana watampunguzia sana kazi ya kukaba. Ross Barkley atategemea sana uwezo wa Fabregas msimu huu. Ila kama Barkley ndiye mbadala wa Fabregas basi tunahitaji kutafuta mtu mwingine zaidi. Loftus Cheek labda? Sijui...ila mtu callibre ya KDB hivi ndo aje kumrithi Fab.

Hao Barkley na Loftus wataingia kuwapumzisha Kante na Jorginho kwa mtazamo wangu.
Bado kuna Drinkwater , kuna uwezekano Chelsea ndio timu yenye viungo bora zaidi wakabaji kwa Epl,.. Tukiachana na hili kuna kimeo cha namba 9, unafikiri Morata will turn up next season au ndo itakuwa maji kupwa maji kujaa kama last season
 
Msanii ni Niki wa Pili, najua Ngolo na Jorginho lazima watakuwa first eleven maana yake anatakiwa mtu wa tatu ambaye ni attacking zaidi, sio Bakayoko , fabregas ni mzuri ila he is slow akiwa na mpira, sijamuona Barkely hapa pre season ila naamini hiyo spot ni yake labda azingue mwenyewe.. tusimsahau pia Loftus, ameimprove sana...
Huyu Nikki sio mtu wa Arusha kweli? Sijawahi kusikia watu wa maeneo hayo wakiwa na tatizo hili. Kama ni kweli basi hali inazidi kuwa mbaya...
 
Bado kuna Drinkwater , kuna uwezekano Chelsea ndio timu yenye viungo bora zaidi wakabaji kwa Epl,.. Tukiachana na hili kuna kimeo cha namba 9, unafikiri Morata will turn up next season au ndo itakuwa maji kupwa maji kujaa kama last season

Aisee...

Danny Drinkwater
N'golo Kante
Jorginho
Fabregas
Ruben Loftus Cheek
Ross Barkley
 
Msanii wa bongo flavor anayefanya phd? Sijamjua...but yeah ni tatizo kubwa kwa sasa. Ebzi hizo naishi Mbagala, majirani zangu walikuwa walimu wa sekondari, na wao walikuwa wanaongea na kuandika hivyo...sipati picha wanafunzi wao.

Anyway, nawaza pale kati...Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante.

Walau tunajua kocha anapendelea 4-3-3

Sasa hiyo mtu 3 kati itakayo kuwa perfect ni ipi???? The million dollar question...

Kwa hizi mechi za pre season wamecheza Jorginho, Barkley na Fabregas.

Second half ikawa Jorginho, Bakayoko na Fabregas kama sikosei ambapo Bakayoko akatoa pasi mbovu ndo Milan wakasawazisha.

Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!

Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.

Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark

Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.

Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark

Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.

Iwe Jogi-Kante-New CAM
 
Kwa midfielders waliopo, naona iko hivi...

N'golo Kante - mbadala wake Danny Drinkwater
Jorginho - mbadala wake ni Ross Barkley
Fabregas - mbadala wake ni Bakayoko na Loftus Cheek.

Hadi dirisha litakapofungwa ndipo tutajua uzuri zaidi...
 
Last edited:
Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!

Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.

Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark

Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.

Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark

Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.

Iwe Jogi-Kante-New CAM
Na mbele yao ni;

Willian/Pedro
Hazard/Odoi
Morata/Giroud/Batshuayi.

Hadi dirisha litakapofungwa...
 
Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!

Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.

Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark

Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.

Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark

Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.

Iwe Jogi-Kante-New CAM
Kuna huyo wa Inter Milan anatajwa nafikiri ndio ndio atafit kwenye hiyo position ya barkley/fab
Ila mimi wasiwasi wangu upo hapo kwenye namba 9 giroud na Morata sio wakuwaamini sana
 
Halafu kiulizio tu...

Kwa mfumo wa sasa Zappacosta na Victor Moses wanahesabika ni defense bado ama wingers/attacking mids?
 
Kuna huyo wa Inter Milan anatajwa nafikiri ndio ndio atafit kwenye hiyo position ya barkley/fab
Ila mimi wasiwasi wangu upo hapo kwenye namba 9 giroud na Morata sio wakuwaamini sana

Wa Inter Milan ni nani?

Mimi nimesikia juu ya Christian Pulisic.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom