Willian ni right attacking midfield na Martial ni left attacking midfield. Kwa maana hiyo kama Hazard atabaki huyu Martial atalazimishwa kucheza kulia otherwise Hazard aondike Martial atasaidiana na Odoi. Na hakuna mbadala wa Willian professionally.swap deal willian to martial. Karbu kutokea
Odoi, jorginho ni hatati sana wanaujua mpira
Samahani Mkuu Naomba Kukuuliza! Kutokana Na Natural Defensive Midfielders hawa, Hivi Kante na Joginho watachezaje na Kwa Mfumo gani Wote Wawili kwa Wakati mmoja?
joginho ni no 8 au 10 kante no no 6 na ndo maana kwenye merch za majalibia kacheza na drink water pale katiSamahani Mkuu Naomba Kukuuliza! Kutokana Na Natural Defensive Midfielders hawa, Hivi Kante na Joginho watachezaje na Kwa Mfumo gani Wote Wawili kwa Wakati mmoja?
joginho ni no 8 au 10 kante no no 6 na ndo maana kwenye merch za majalibia kacheza na drink water pale kati
Umemalizia vizuriMimi Nimeiangalia Vizuri Sana Ligi Kuu ya Italia Sikuwahi Kumuona Joginho Akicheza Namba 8 punguza Uongo.
Joginho ni Natural Defensive Midfielder (No 6) tokea alipoanza Kuichezea Napoli.
Jamaa ni Mkabaji Kama Kante ila Joginyo ni distributor mzuri zaidi kuliko Kante, Lakini Kwa Ukabaji Kante ni bora zaidi.
Kwa 4-3-3 Jorginho na Kante pair watakuwa poa sana.Mimi Nimeiangalia Vizuri Sana Ligi Kuu ya Italia Sikuwahi Kumuona Joginho Akicheza Namba 8 punguza Uongo.
Joginho ni Natural Defensive Midfielder (No 6) tokea alipoanza Kuichezea Napoli.
Jamaa ni Mkabaji Kama Kante ila Joginyo ni distributor mzuri zaidi kuliko Kante, Lakini Kwa Ukabaji Kante ni bora zaidi.
Naiona ikiwa hivyo mkuu mentorKwa 4-3-3 Jorginho na Kante pair watakuwa poa sana.
Ya uongo hiyo. Watu wanatengeneza tuWelcome Antonio Martial official Twitter Chelsea wameposti.
Kwa 4-3-3 Jorginho na Kante pair watakuwa poa sana.
Welcome Antonio Martial official Twitter Chelsea wameposti.
Sarri mfumo wake ni huoUmeongea Point ya Kiwango cha Kimataifa! Huo (4-3-3) ndiyo Mfumo pekee unaoweza Kuwaunganisha Kante na Joginho wakaweza Kucheza pamoja.
Lakini Je Kocha Wenu ni Fan Wa Mfumo Huo? Huenda Shida ikaanzia Hapo.
hapana hujangalia napori wewe pale kuna mbraziri anaitwa Allan na ndie kawa kiungo no 6 bora itaria ndo alikuwa anacheza na joginyoMimi Nimeiangalia Vizuri Sana Ligi Kuu ya Italia Sikuwahi Kumuona Joginho Akicheza Namba 8 punguza Uongo.
Joginho ni Natural Defensive Midfielder (No 6) tokea alipoanza Kuichezea Napoli.
Jamaa ni Mkabaji Kama Kante ila Joginyo ni distributor mzuri zaidi kuliko Kante, Lakini Kwa Ukabaji Kante ni bora zaidi.
hapana hujangalia napori wewe pale kuna mbraziri anaitwa Allan na ndie kawa kiungo no 6 bora itaria ndo alikuwa anacheza na joginyo
Hahahaa nimependa hapo mwisho, anaupenda mpira, ila mpira haumpendiHaya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo
Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.
Kwi kwi kwiHaya maneno nimeshindwa Kuyaona Katika Kamusi ili nijue maana yake:
Napori
Mbraziri
Allan
Itaria
Joginyo
Bora Nikuache tu uendelee Manake Mpira unaupenda Lakini Wewe Haukupendi.