kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,482
- 2,038
duh! ngumu kumezaTunamtegemea Brighton. Kama akiweza kudroo na Liverpool nasi tukashinda mechi mbili zilizobaki basi tunakuwa top four
duh! ngumu kumezaTunamtegemea Brighton. Kama akiweza kudroo na Liverpool nasi tukashinda mechi mbili zilizobaki basi tunakuwa top four
Washaanza kufarakanaView attachment 768465View attachment 768466
Trust me usipokubali tafuta hata statistics za Bakayoko. Bakayoko, Hazard, Kante, Courtois, Ludiger ni miongoni mwa watu waliperform leoSeriously, huyu huyu Bakanyoko ndo unataka kumsifia kwa mechi ya leo, call me plastic fan ila with or without Bakanyoko leo tungepata matokeo haya haya au yanayokaribiana na haya, Bakanyoko hajawahi kuwa" X factor" katika mechi yoyote tuliocheza msimu huu, lets talk about Ngolo,huyu jamaa ana mapafu ya mbweha![]()
![]()
hachokiiii
Samahani mkuuWashaanza Kufarakana! Pengine sijui Maana Sahihi Ya Neno Kufarakana lakini Sidhani Kama Tuna Kitu Kama Hicho Coz Hapo Kila Mmoja Katoa Mawazo ya Anachokiona Mchezoni bila Ya Mtu Kumpinga Mwenziwe.
Tunamtegemea Brighton. Kama akiweza kudroo na Liverpool nasi tukashinda mechi mbili zilizobaki basi tunakuwa top four
Ngoja tusubiri 80 minutes zituamlieHii Game Ya BHA tunacheza Anfield Wakati Wewe Muda Huohuo unacheza Away na Newcastle (RAFA BENITEZ).
Hii Mechi Yetu Sisi Home Hatutakuwa Na Pressure Ya #CL tofauti Na Mbili Zilizopita (WBA & Stoke) ambazo tulikiwa na Pressure Ya Roma Katikati huku Wakiwa Wanataka Kujinasua Kushuka Daraja.
Lakini Hawa BHA wako Safe hawana Pressure ya Kushuka Daraja wala Kugombania [HASHTAG]#Europa[/HASHTAG]! Kwahiyo Ni Game easy Kabisa.
Nakukumbusha tu Kuwa Una Newcastle away! Ni game Ngumu Hii Kuliko unavyodhania!!!
Sawa Ndugu MchambuziHii Game Ya BHA tunacheza Anfield Wakati Wewe Muda Huohuo unacheza Away na Newcastle (RAFA BENITEZ).
Hii Mechi Yetu Sisi Home Hatutakuwa Na Pressure Ya #CL tofauti Na Mbili Zilizopita (WBA & Stoke) ambazo tulikiwa na Pressure Ya Roma Katikati huku Wakiwa Wanataka Kujinasua Kushuka Daraja.
Lakini Hawa BHA wako Safe hawana Pressure ya Kushuka Daraja wala Kugombania [HASHTAG]#Europa[/HASHTAG]! Kwahiyo Ni Game easy Kabisa.
Nakukumbusha tu Kuwa Una Newcastle away! Ni game Ngumu Hii Kuliko unavyodhania!!!
Nimekukaza kamoja tuMwakani mtacheza Yuropa na wenzenu Real Socieded ya Spain na Mangleabach ya Germany!
Kwenye mashindano haya ya wanaume mmeisha shindwa!
Week ijayo baada ya kumpiga Roma nakuja nakupiga hapo hapo kwako
Hao unaowazarau juzi wamemkaza man uHii Game Ya BHA tunacheza Anfield Wakati Wewe Muda Huohuo unacheza Away na Newcastle (RAFA BENITEZ).
Hii Mechi Yetu Sisi Home Hatutakuwa Na Pressure Ya #CL tofauti Na Mbili Zilizopita (WBA & Stoke) ambazo tulikiwa na Pressure Ya Roma Katikati huku Wakiwa Wanataka Kujinasua Kushuka Daraja.
Lakini Hawa BHA wako Safe hawana Pressure ya Kushuka Daraja wala Kugombania [HASHTAG]#Europa[/HASHTAG]! Kwahiyo Ni Game easy Kabisa.
Nakukumbusha tu Kuwa Una Newcastle away! Ni game Ngumu Hii Kuliko unavyodhania!!!
Hao wote wanaijeria
Brighton hawana cha kupoteza, dakika 90 zinaweza kuleta matokeo yasiyotarajiwa kabisaHii Game Ya BHA tunacheza Anfield Wakati Wewe Muda Huohuo unacheza Away na Newcastle (RAFA BENITEZ).
Hii Mechi Yetu Sisi Home Hatutakuwa Na Pressure Ya #CL tofauti Na Mbili Zilizopita (WBA & Stoke) ambazo tulikiwa na Pressure Ya Roma Katikati huku Wakiwa Wanataka Kujinasua Kushuka Daraja.
Lakini Hawa BHA wako Safe hawana Pressure ya Kushuka Daraja wala Kugombania [HASHTAG]#Europa[/HASHTAG]! Kwahiyo Ni Game easy Kabisa.
Nakukumbusha tu Kuwa Una Newcastle away! Ni game Ngumu Hii Kuliko unavyodhania!!!
Bakayoko ni Mnigeria kwani?Hao wote wanaijeria
Mashabiki wa Liverfool bhana. Baada ya hiyo 2010 walifanya nini baada ya hapo.? Mnasindikiza nyie hamuendi kuchukua UEFA. *****. Utakataa sa hivi ila Kiev utakubali.Mara Ya Mwisho Kucheza CL ilikuwa Ni 2015 vuta Kumbukumbu Vizuri! Ni Miaka 2 tu Tokea Mara Ya Mwisho Kucheza Champion League!
Hiyo Miaka 10 iliyopita Ni kwamujibu Ya Hesabu za Brainless Wa Chelshit.
Halafu Washabiki Wa Chelshit Wote Ni Mental Disorder! Yani Man U, Spurs, Chelshit na Man City Wote Hawa Walibakwa Kwenye CL wakatolewa.
Liverpool ambaye Tayari Mguu Mmoja Yupo Finali Baada Ya Kumfunga Bingwa Wa Uengereza aliyekupiga Nje Ndani na Kumpiga Migoli 5 mbabe Wa Barcelona ambaye Ni Bingwa Wa Spain leo Hii umepata Ujasiri Wa Kumwita Msindikizaji???
Sasa Mbona Munaacha Yenu Munakaa Mbele ya Runinga na Kumwangalia Liverpool Msindikazaji Wakati Munazo Timu zenu Za Kuziangalia Ambazo Hazisindikizi Zinafanya Kweli??
Acheni Wivu Huo Ni Liverpool Pekee Ndiye Mwenye Uthubutu Barani Ulaya na Si Chelshit inayoshiriki Miaka 10 mfululizo (from 2001 - 2010) bila ya Kufanya la Maana.
Mkuu kwan EUROPA zinashiriki timu za ndondo.? Wewe ulishiriki ukahlgongwa kama mbwa koko. Leo hii unaiponda ligi iliyokutoa mafua kupigania kombe. Acheni ulimbukeni nyie Liverfool fans kwa kuwa mmeingia fainali ya UEFA.Chelsea mwakani mnacheza YUROPA
Najua mna hasira sana!
Klopp hawezi tena kosa UCL spot kupitia EPL,nyie na Totenham,na Man U na Man City na Arsenal mtakuwa mnabadilishana!
Liverfool fan nipe mrejesho. Wajionaje hali.?Jumapili ndiyo NAKUPELEKA rasmi Yuropa mwakani ukacheze na Mavi ya Bata FC ya Lithunia,uwanja wa mabati watazamaji 3,000!
Nakupiga hapo hapo kwako sababu Liverpool sasa ndiyo team bora Ulaya,huwezi wazuia!
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Bado mmenuna kwa mafanikio yetu?

Hahaa mkuu yan huyu king ngwaba sijui kwa nini anajiita hivyo. Bora mods wangebadilisha waanze kumuita Queen Ngwaba.Washaanza kufarakanaView attachment 768465View attachment 768466
Mpira unadunda huu Loserfools wanaweza kuteleza mkashangaa Chelsea ndio anaenda CL, tofauti kati ya Liverpool na Chelsea ilikuwa 11pts sasa hivi 3pts na Chelsea ana game mkononi!Mkuu kwan EUROPA zinashiriki timu za ndondo.? Wewe ulishiriki ukahlgongwa kama mbwa koko. Leo hii unaiponda ligi iliyokutoa mafua kupigania kombe. Acheni ulimbukeni nyie Liverfool fans kwa kuwa mmeingia fainali ya UEFA.
Binafsi sijawahi kuidharau ligi ya EUROPA. Ila ninatamani pia kucheza UEFA.