Raja Casablanca
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 706
- 368
sawa tu tukicheza Europa, ili mradi tutapata mechi za kimataifa it's all good. hiyo itatupa nafasi ya kupambana na kuchukua EPL na makombe mengine mengiChelsea mwakani mnacheza YUROPA
Najua mna hasira sana!
Klopp hawezi tena kosa UCL spot kupitia EPL,nyie na Totenham,na Man U na Man City na Arsenal mtakuwa mnabadilishana!