Sio tu wazamani, ushahidi muhimu.Duh mkuu unatafutaje ushahidi wa zamani kirahisi hivi?
Conte alichukua ubingwa na foundation aliyoijenga Mourinho na walikuwa hawana michuano ya ulaya ukilinganisha na competitor wenzake
Chelsea Kaiyanzisha Mourinho Mwaka 2004 na Kaamua Kuiyua Mourinho Mwaka 2018.
Kaiyuwa Kwa Kumchukua Matic na Kuwanyima Fursa ya Kumsajili Lukaku, Na Anamvizia Willian.
Kwa Amani Kabisa Tunataka Kurudishiwa Chelsea Yetu Ya 2003 na below.
Kama unatumia PC version ukifungua profile ya member yeyote unaweza uka-search post zake alizopostDuh mkuu unatafutaje ushahidi wa zamani kirahisi hivi?
wakati mkiirudisha liva yenu ya zilipendwa
What a comeback
Ni week ya comebackWhat a comeback
Je bado unatamani kucheka?Tatizo nn wakuu!
Maana nashindwa hata kuwacheka nawaonea huruma tuu
