Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Frankly speaking, Not a good display from the BLUES...but they are leading by 2 goalz kwa nunge so far...Its Half time...Thanx Dro"goal " and Malouda.....
 
Kalou...La 4.......Ni soo...hawa jamaa wanarudi kwa kasi ya Ajabu......
 
Peasant, Rev Kishoka, Masanilo, Aljunortz, ab-titchaz Elnino, kituko, bila kumsahau invisible na wapenzi wooote wa Chelsea, hongereni kwa kuibuka kidedea leo...the 'catch up' game is on,

...plz rudini 'jamvini' tuendeleze malumbano!
 
Peasant, Rev Kishoka, Masanilo, Aljunortz, ab-titchaz Elnino, kituko, bila kumsahau invisible na wapenzi wooote wa Chelsea, hongereni kwa kuibuka kidedea leo...the 'catch up' game is on,

...plz rudini 'jamvini' tuendeleze malumbano!


Ahsante mkuu, naona ile dua yako ya kibundibundi imekosa mashiko....hahahaha. Lakini nafikiri mimi nipo sana hapa jamvini ndio maana unaona nakujibu post zako zote hapo juu kila siku.
Pamoja chief wangu.
 
Peasant, Rev Kishoka, Masanilo, Aljunortz, ab-titchaz Elnino, kituko, bila kumsahau invisible na wapenzi wooote wa Chelsea, hongereni kwa kuibuka kidedea leo...the 'catch up' game is on,

...plz rudini 'jamvini' tuendeleze malumbano!

Khe khe kheeeeeeeeeee Mbu unafikiri watarudi hao, hawawezi kuja hapa maana wanafahamu kilichomtoa kanga manyoya 11 games wameshinda mechi tatu hali bado mbaya sana ukiona wamejitokeza basi fahamu ya kwamba Arsenal wamepoteza mechi nakuhakikishia utawaona hapa kama vile mvua ya gharika.


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee BTW Mungiki brother yupo tele kama pishi la udaga aliondoka Kibera kwa speed ya radi anasubiri tu siku Arsenal wakifungwa.


c01_12_682x400_1236133a.jpg

EXCUSE ME MATE ... fan finds Ancelotti in her seat



Sasa wakuu hata kocha wenu anafukuzwa kwenye kiti tena hapo hapo darajani mtafika kweli? Khe kheeeeeeeeeeeeeee



c02_12_682x400_1236134a.jpg


Acheni Lotte alitaka kuleta ubishi, akaambiwa Oi nimelipia hiki kiti vipi wewe?

khe khe kheeeeeeeeeeeee Mafioso bana mpunga kwishnei
 

c04_12_682x400_1236136a.jpg



Acheni Lotte anafungasha virago ... ..... ...


khe khe kheeeeeeeeeee
 
article-0-0CE4CED2000005DC-888_634x633.jpg



article-0-0CE4D541000005DC-588_634x558.jpg





article-0-0CE4A47D000005DC-947_634x418.jpg




Chelsick wakifanya vitu vyao mbele ya Bolton ... .... ...who?

.... ... Bolton ni moja ya timu kwenye EPL usishangae ... ...


Hongereni sana wakuu kwa ushindi mnono ... .... tupo pamoja ... .. khe khe kheeeee


 
c04_12_682x400_1236136a.jpg

Acheni Lotte anafungasha virago ... ..... ...



khe khe kheeeeeeeeeee

...Bundi anataka mchezo?! khe khe!...huyo jamaa nyuma ya Acheni Lotte kavaa fly Emirates na logo ya Arsenal?
 
Hii game ya Everton bado Ngumu......ila So far Moja Bila.......................
 
Hongereni Wakuu kwa kutoa draw maana usalama wenu wa kuendelea katika mashindano haya ulikuwa hatarini na katika marudiano mtakuwa nyumbani na mara nyingi mcheza kwao hutuzwa. Nadhani Mkuu Masa atakuwa anasoma hii thread kokote kule aliko. Naona kifungo ndiyo kinakaribia ukingoni. Tunakukaribisha tena kijiweni baada ya kumaliza kifungo chako ambacho hukustahili.
 
images



...peace man,

I was wrong. You are right Peasant.
Am deeply :disapointed: sorry kwa wapenzi wote wa CHELSEA
wote mlikwazika na posting yangu ya YOSSI BENYAOUM.

Tuendeleze libeneke...
Nawaombea matokeo 'nanihii (ya ki-bundi bundi!)...' kwenye game ya leo Vs Bolton.
:ranger: Pamoja!

Mstaarabu Mbu, siku zote huwa tayari kuyakubali makosa yako na kuomba radhi. Ahsante sana Mkuu kwa ustaarabu wako.

 
CHELSEAsplash_1239814a.jpg


Wakuu naona huyu jamaa hapa chini

hataki kuondoka kwenye makuti ...... ......




tawny%20owl_300_tcm9-142525_v1.jpg


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Pole sana Mungiki brother tunafahamu mambo siyo mswano sana kule Kibera ingawa upo Dar mtoni .... .... .... ushindi bado ni alinacha endelea tu kuwa Invisible maana hawa Peasant's wakikuona wanaweza kukupiga mawe kama wana wa Misri wasivyompenda Hosni Mubarak angalau una chance ya kuomba na kutubu Umafioso wenu pamoja na Rev Kishoka. Halahala kimbunga cha Elnino kisije kikawachukua maana mko kwenye makuti.


Khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Hv Abromo (najua ndo man behind the deal), anadhan kwel anaweza akampata mcheza class ya Torres dirisha dogo hili?, let alone kumleta mchezaj the like of Torres London, ngumu sana. I find hm gambling tu, bora akamchukue Tshabalala tu Sauzi.
 
CHE24.1.gif

...vipi wazee, nasikia mmeshamsajili Torres kwa £50m! Hamtaki mchezo...he he he!
 
Hehehe Chelsea wakimleta Torres watakuwa wametumia karibu 100 mil ndani ya miezi sita and who said ni Citeh pekee ndio wanajaribu kununua success?
Ramires £18m, Torres £50, Luiz £21m, and Benayoun £5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom