Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Mbona kama Conte anabahatisha katika maamuzi yake. Anamtoa Hazard halafu anakuja kumuingiza tena Fabregas. Wale ngedere wamepaki basi badala ya kujaza viungo sijui akawa analengo gani.
Morata kaprove failure muda hakukua na haja ya kumuacha uwanjani Mpka dkk ya 90.
Once a blue always a blue. Tumepoteza pamoja
Morata kaprove failure muda hakukua na haja ya kumuacha uwanjani Mpka dkk ya 90.
Once a blue always a blue. Tumepoteza pamoja