Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Unajua kuwa Chelsea ametumia pesa nyingi kusajiri wachezaji msimu huu kuliko Liverpool? Sema bodi imesema haitanunua mchezaji gharama kubwa kuliko thamani yake. Kumbuka Chelsea ni biashara ya mtu, so mwisho wa siku watanunua wachezaji wa kawaida ili kocha awadevelop.
Mchezaji Wa Kawaida Unaenunua Ukamdevelop Ni Yule aliye na Umri Chini Ya Miaka 22- years.
Lakini Kwa Barkley, Drinkwater na Giroud mkuu hapa Munakwenda Kuwadevelop Kitu Gani???
Hii si Sera Ya Kudevelop Vipaji Bali Ni Sera Ya Kununua kwaajili ya Kutumia.
My Take: Kumzidi Liverpool Katika Usajili haimaanishi Kuwa Ndiyo Unaendana na Soko la Sasahivi.