Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

9c4306656d7bd848845ec85fd677cd6d.jpg
 
Wakuu jiandaeni kuchomekewa vitu vyenye ncha kali huko nyuma na Messiah
 
Bakayoko ni mchezaji wa kawaida TU, LKN kocha anampanga kila mechi, hana concentration on the pitch, anajisahau, hawezi kutoa pasi za mwisho, ni mchezaji wa kutibua tibua TU. Haya, ukimtoa TU kante tunapotea sana, SASA huyu wa nini! Kocha alipaswa awe anampanga drink water na kante katikati, pembeni mbele hazard na William na Pedro halafu aingie sub, nyuma Christensen, Cahill na aziliqueta, pembeni nyuma Moses na Alonso
 
Timu haipati matokeo tunayoyatarajia KBS, draw 6, win 1 na loss 1, nini SASA! Halafu anafaa KWA Chelsea ambayo ni timu kubwa ulaya, tulishachukua kombe la klabu bingwa ulaya 2012 na tuliwahi kuchukua UEFA NDOGO 1997, Zola supersub akiwaua STUGATT ya German dk ya 75. Asena ni timu ndogo MNO kututesa sisi wazee.
 
Arsenal Ni Timu Ndogo mbele Ya Chelsea iliyoanzishwa 2005??

Ama kweli hii Ni Tanzania ya V-wonder !!!!!
 
Umri siyo unaomfanya mtu ajielewe. Nimeshangaa kuona unamlaumu kocha ila unaonyesha matatizo ni ya wachezaji.

Mashabiki wa Chelsea tuwe na shukrani sana kwa Conte. Msimu wa kwanza Conte katupa ubingwa na tunajua Chelsea ikipata ubingwa msimu unaofuata huwa ni kupoteana lakini mpaka sasa tupo big four.

Pili Conte ana wachezaji wa kawaida sana tofauti na forward za Wapinzani wetu. Forward yetu huwezi kuilinganisha na Firminho, Mo Sarah, na Mane; au Jesus, Aguero na Sane; au Kane, Dele Ali na Eriksen na hata bado Arsenal atakuwa bora zaidi akiwa na Ozil, Mikhtarian, Lacazete na Wilshare.

Tuweni na shukrani jamani. Hiki tunachokiona ni kwa sababu wachezaji wanajitoa zaidi ya 100% na mbinu za kocha, vinginevyo tungekuwa nafasi ya 7 au sita nyuma ya Arsenal na Liverpool
Juda won it back to back,Conte won trophy with foundation made by Juda
 
Juda won it back to back,Conte won trophy with foundation made by Juda
Judah? OK but remember the quality of players who won it back to back. Were we having the likes of Drinkwater, Bakayoko, Pedro, Alonso and Moses?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom