Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

026ff2d50ae07b0a4902d888d2a7a9f1.jpg
 
Atatangulia Mou

Kwa haya matokeo na pesa anazotupia mrus

Chelsea Football Club In 2018

Everton 0 0 Chelsea
Arsenal 2 2 Chelsea
Chelsea 0 0 Leicester
Norwich 0 0 Chelsea
Chelsea 0 0 Arsenal
Chelsea 1 1 Norwich
Brighton 0 4 Chelsea
Arsenal 2 1 Chelsea

One Win In 8 matches.
 
NDIYO kila siku wanakamatwa kutukana mitandaoni, ni ukosefu wa maadili KBS uliolikumba taifa letu hasa kwa vijana. Jamii forum tumeingiliwa na tabia hizi za ovyo na zisizo na staha KBS.
Huwezi kuwa ngika halafu muda huo ni ngalu.
 
Unadraw mechi 8 halafu, unadraw mechi 6 mfululizo, unashinda moja then unafungwa, unasema una kocha WA kushinda makombe kama Europe champions league!!!! Tutapigwa nyingi TU na Barcelona. Bodi INA matatizo, tumeacha wachezaji wazuri akina Alex Sandro, koulibaly mabeki wazuri tu Italy, tunamwacha Costa tunachukua kituko, tunashindwa kuvunja benki tuchukua kiungo WA KAZI Arturo Vidal tunamchukua Ross!!!!!!!
 
Katika hii michezo mitatu namuona Bakayoko akiwajibu haters kwa vitendo. He had an outstanding performance yesterday. Hakuna mtu kafanya kazi nzuri jana kama Bakayoko ukimuondoa Hazard
 
Katika hii michezo mitatu namuona Bakayoko akiwajibu haters kwa vitendo. He had an outstanding performance yesterday. Hakuna mtu kafanya kazi nzuri jana kama Bakayoko ukimuondoa Hazard
Angalia goli la pili tulilofungwa.alafu njoo tujadili.simkubali bakayoko hata kidogo.na conte safari inamuita.anatuharibia tu timu
 
Mimi ni MTU mzima huwezi kuniambia sijielewi! Shida humu kuna baadhi ya vijana waliozaliwa miaka ya late 80s au early 90s, hawana maadili KBS, nafikiri hawakupata malezi utotoni yoyote ya maana.
Umri siyo unaomfanya mtu ajielewe. Nimeshangaa kuona unamlaumu kocha ila unaonyesha matatizo ni ya wachezaji.

Mashabiki wa Chelsea tuwe na shukrani sana kwa Conte. Msimu wa kwanza Conte katupa ubingwa na tunajua Chelsea ikipata ubingwa msimu unaofuata huwa ni kupoteana lakini mpaka sasa tupo big four.

Pili Conte ana wachezaji wa kawaida sana tofauti na forward za Wapinzani wetu. Forward yetu huwezi kuilinganisha na Firminho, Mo Sarah, na Mane; au Jesus, Aguero na Sane; au Kane, Dele Ali na Eriksen na hata bado Arsenal atakuwa bora zaidi akiwa na Ozil, Mikhtarian, Lacazete na Wilshare.

Tuweni na shukrani jamani. Hiki tunachokiona ni kwa sababu wachezaji wanajitoa zaidi ya 100% na mbinu za kocha, vinginevyo tungekuwa nafasi ya 7 au sita nyuma ya Arsenal na Liverpool
 
Inasikitisha. Maana hawa walikuwa wateja wenu, Drogba alikuwa kila mechi anatupia. Kwakweli Conte hana mbinu ya kumfunga Arsenal
Nani leo yupo katika kiwango cha Drogba pale mbele? Je common sense inakwambia kosa ni la nani?
 
Unadraw mechi 8 halafu, unadraw mechi 6 mfululizo, unashinda moja then unafungwa, unasema una kocha WA kushinda makombe kama Europe champions league!!!! Tutapigwa nyingi TU na Barcelona. Bodi INA matatizo, tumeacha wachezaji wazuri akina Alex Sandro, koulibaly mabeki wazuri tu Italy, tunamwacha Costa tunachukua kituko, tunashindwa kuvunja benki tuchukua kiungo WA KAZI Arturo Vidal tunamchukua Ross!!!!!!!
Anayeshinda makombe si kocha! Ni timu. Kama wachezaji wako wapo katika kiwango cha kawaida basi na matokeo yatakuwa kama hayo. Lakini angalia mpira unaochezwa pale Chelsea... ni nani asiyejua kuwa Chelsea inamiliki mpira? Ni nani asiyejua kama Chelsea inatengeneza nafasi za magoli? We should accept that Conte is the best. Akipewa type ya Makelele, Ashel Cole, Lampard, Essien na Drogba wa 2007 sijui kama kuna timu duniani itamfunga Conte.

Tuache kumlaum kwa makosa yasiyomhusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom