HujielewiKocha ni tatizo MNO, ameshindwa kupanga wacheza, hatuna goal scorer KBS, tunafungwa goli LA kwanza kizembe tunafungwa goli la pili kizembe hivyo hivyo. Yaani bakayoko ni galasa
Inasikitisha. Maana hawa walikuwa wateja wenu, Drogba alikuwa kila mechi anatupia. Kwakweli Conte hana mbinu ya kumfunga ArsenalNimekata tamaa kabisa na huyu conte, yaani sisi wakufungwa kiteja na arsenal namna hii, inauma sana !!
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Conte hana mbinu, na lazima aondoke, haiwezekani timu ndogo kama arsenal itusumbue hvi wakati tunatetea taji, sasa Barcelona si watatuu kabisaInasikitisha. Maana hawa walikuwa wateja wenu, Drogba alikuwa kila mechi anatupia. Kwakweli Conte hana mbinu ya kumfunga Arsenal
Nilipo mimi muda huo ilikuwa saa sita mchana.Njiani kwenda wapi tena mkuu
Haina uhusiano hiyo.Conte hana mbinu, na lazima aondoke, haiwezekani timu ndogo kama arsenal itusumbue hvi wakati tunatetea taji, sasa Barcelona si watatuu kabisa
Hujanielewa !! Ninachomaanisha hapa kama kweli wewe ni bingwa mtetezi timu inatakiwa kuonyesha uwezo na nia kubwa ya kushinda kila game, ukipoteza ni kwa bahati mbaya, siyo unafululiza draw na kufungwa juu halafu unasema unania ya kutetea kombe na kishinda klabu bingwaHaina uhusiano hiyo.
Kila mechi inajitegemea mkuu.
La sivyo leo Real Madrid asingefungwa na Leganes.
Naona ni morale ya wachezaji sijui. Hata Hazard hachezi kama...anyway...wacha tuone weekendHujanielewa !! Ninachomaanisha hapa kama kweli wewe ni bingwa mtetezi timu inatakiwa kuonyesha uwezo na nia kubwa ya kushinda kila game, ukipoteza ni kwa bahati mbaya, siyo unafululiza draw na kufungwa juu halafu unasema unania ya kutetea kombe na kishinda klabu bingwa
Yes, ngoja tuone mkuuNaona ni morale ya wachezaji sijui. Hata Hazard hachezi kama...anyway...wacha tuone weekend
Naona ni morale ya wachezaji sijui. Hata Hazard hachezi kama...anyway...wacha tuone weekend
Sasa tunamfukuza lini Conte Hiddink aje kumalizia msimuChelsea wamecheza mpira vizuri wala kocha si tatizo. Nilijua lazima kukaa leo ila Sanchez angekuwepo tusingetoka salama maana timu ilikuwa na kamgomo baridi juu yake.
Timu ya arsenal inamiliki mpira na imezuia sana ukizingatia full back yao yote ilikuwepo na viungo pia walikamilika huwezi chomoka.
Luiz mliyemtupia kapuni ataendelea kuwa doa.
Naamka kwa raha sana leo.
Atatangulia MouSasa tunamfukuza lini Conte Hiddink aje kumalizia msimu
So unataka Jose atangulie ili arudi darajani mara ya 3?Atatangulia Mou