The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Unajua kuwa wakati tunacheza na Norwich tulitumia 3-4-3? Au unaongea tu?Hii makitu ya 3-5-2 sijui kaiokota wap. Sioni Chelsea ya kupata matokeo hivo karibuni
Unajua kuwa wakati tunacheza na Norwich tulitumia 3-4-3? Au unaongea tu?Hii makitu ya 3-5-2 sijui kaiokota wap. Sioni Chelsea ya kupata matokeo hivo karibuni
Leo ndio unagundua usajili ni mbovu?Formation haina shida wala kocha hana shida, usajili ulikuwa ni mbovu na usioendana na usajili wa contenders
Nahii inatokan na mabos wet kushindwa kufata matakwa ya conte ktk usajili.Formation haina shida wala kocha hana shida, usajili ulikuwa ni mbovu na usioendana na usajili wa contenders
Angalia ni achezaji wa aina gani walicheza katika mfumo huo?? Unapocheza 3-5-2 lazima uwe na mshambuliaji anaejua kuwapa pressure mabeki na kwenye nguvu ya kubaki na mpira mguuni japo kwa muda. Morata hawezi hizo kitu.Unajua kuwa wakati tunacheza na Norwich tulitumia 3-4-3? Au unaongea tu?
Haukua mfumo huo uliitumika Mara nyingiLast season formation hiyohiyo mulichukulia Ubingwa leo hii munaidharau?
Kwa kweli tuna kazi nzito. Nyuma yetu yupo Harry Kane, Dele All na Eriksen. Sijui kitakachotokea aisee. Tutaishia tu kumlaumu kocha ila kiukweli hatuna striker.Kwa matokeo ya Liverpool vs Man city leo ya 4:3 sasa tunapambana tubakie top 4 tu
Mahrez!!!!!Hakikisha na msimu huu ushinde na EPL
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] we jamaa una chekesha sana. Hivi huoni aibu kushabikia hilo litimu kila mchezaji anaikimbiaMahrez!!!!!
Wangapi wameikimbia???[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] we jamaa una chekesha sana. Hivi huoni aibu kushabikia hilo litimu kila mchezaji anaikimbia
Mkuu unataka tuanze kutaja. We huoni.?Wangapi wameikimbia???
Aliyekwambia coqlin kakimbia nani??? Unafikir hao wanakuja chelsea[emoji2] [emoji23] tulia tushushe vifaa tukukule kunako...Mkuu unataka tuanze kutaja. We huoni.?
Sanchez tayari, Ozil yuko njiani, Coqlin ndio huyoo, Lacazete anatamani hata avunje mkataba aende Atletico sema nao washamrudisha Costa.
Mkuu unatukosea heshima sana. Hakuna mchezaji anayeweza kutoka Arsenal kuja Chelsea. Hayo makabdokando yameshaisha sisi hatuwezi kuyachukua.Aliyekwambia coqlin kakimbia nani??? Unafikir hao wanakuja chelsea[emoji2] [emoji23] tulia tushushe vifaa tukukule kunako...
Endelea kupiga bei Costa halafu unanunua morata...Mkuu unatukosea heshima sana. Hakuna mchezaji anayeweza kutoka Arsenal kuja Chelsea. Hayo makabdokando yameshaisha sisi hatuwezi kuyachukua.
Mlimuuza Chamberlain, umeona leo alivyokua anacheza wewe.?
Mara ya mwisho Arsenal alichukua ubingwa lini tena?Aliyekwambia coqlin kakimbia nani??? Unafikir hao wanakuja chelsea[emoji2] [emoji23] tulia tushushe vifaa tukukule kunako...
Hazard kashachukua makombe ya kutosha kwa hiyo hakimbii kama hao wanaokimbia kwa sababu ya ukame wa makombe. Hazard anachotafuta ni ufahari tu wa kuchezea timu kubwa kubwa. Isingekuwa hivyo angekuja Arsenal. Wee, subutu!Endelea kupiga bei Costa halafu unanunua morata...
Ww hazard anataka akukimbie hataki new contract kwenye madaraja coz kwao yapo mengi...
Bakayokoooooo!!!! Hhhhhh[emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Toka Hazard aje. Amechukua makombe mengi kuliko timu yakoEndelea kupiga bei Costa halafu unanunua morata...
Ww hazard anataka akukimbie hataki new contract kwenye madaraja coz kwao yapo mengi...
Bakayokoooooo!!!! Hhhhhh[emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23]