Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hazard kashachukua makombe ya kutosha kwa hiyo hakimbii kama hao wanaokimbia kwa sababu ya ukame wa makombe. Hazard anachotafuta ni ufahari tu wa kuchezea timu kubwa kubwa. Isingekuwa hivyo angekuja Arsenal. Wee, subutu!
aliyekwambia tuna ukame wa makombe nani????
 
Arsenal alichukua EPL mara ya mwisho 2004, zaidi ya miaka 14 bila kombe. katika miaka 18 tangu elfu mbili Arsenal = 2 EPL, Chelsea 5 EPL
page-2322

Katika miaka 18 at least Chelsea imechukua UEFA moja na runnerup 1
Arsenal UEFA = 0, Runner up 1
FA cup tu ndio Arsenal ameng'ara na kwa bahati mbaya hizi ni mojawapo ya condolences trophies ambazo ni sawa na makombo kwa mtu mwenye njaa. wenzako wale minofu wewe ubakie na mifupa, an kanyagio
 
Attachments

  • EPL Winners in History.jpg
    EPL Winners in History.jpg
    90.9 KB · Views: 44
Tetesi

Arsenal na Chelsea wanammezea mate mshambuliaji wa Watford raia wa Brazil Richarlison 20. (Sun)
 
Tetesi

Chelsea bado wako makini kumsaini mshambuliaji wa mwezi Januari kwa mkopo huku Andy Carroll wa West Ham akiwa katika nafasi nzuri wa kusainiwa. (Telegraph)
 
Arsenal alichukua EPL mara ya mwisho 2004, zaidi ya miaka 14 bila kombe. katika miaka 18 tangu elfu mbili Arsenal = 2 EPL, Chelsea 5 EPL
page-2322

Katika miaka 18 at least Chelsea imechukua UEFA moja na runnerup 1
Arsenal UEFA = 0, Runner up 1
FA cup tu ndio Arsenal ameng'ara na kwa bahati mbaya hizi ni mojawapo ya condolences trophies ambazo ni sawa na makombo kwa mtu mwenye njaa. wenzako wale minofu wewe ubakie na mifupa, an kanyagio
ww zwazwa unasema fa ni makombo???...
nambie key player wako ambaye hakucheza mechi ya fainali dhidi ya arsenal....
nimekutana na mancity composed of all key players nimemnyuka ..
nimekutana na nyie zuzu's fainali,nimewasaga kama kawa....
punguza bange kijana,usivute kabla ya kupost,Bali vuta baada ya kupost akili iingie...
 
SHOTS ON TARGET.
8 vs Norwich
7 vs Arsenal
8 vs Leicester

0 goal scored ,
and then you sign Barkley, when did UK legalize weed?
 
ww zwazwa unasema fa ni makombo???...
nambie key player wako ambaye hakucheza mechi ya fainali dhidi ya arsenal....
nimekutana na mancity composed of all key players nimemnyuka ..
nimekutana na nyie zuzu's fainali,nimewasaga kama kawa....
punguza bange kijana,usivute kabla ya kupost,Bali vuta baada ya kupost akili iingie...
Kwani msimu uliopita ni nani ambae hakumfunga Man City.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom