Dhambi kubwa inayotutafuna ni kuachana na Diego CostaUmeona mkuu.
Msimu huu tunapiga mpira mwingi tatizo linakuwa katika umaliziaji .Abramovich asikurupuke kwa hili
Tim yetu naona inacheza mpira ktk mech kubwa tofauti na mwanzo cha msingi ampe player ambao conte anawahitaj
Tulishindwa kutafuta mtu sahih pale baada ya costa kuondokaDhambi kubwa inayotutafuna ni kuachana na Diego Costa
Atleast Aguero alikuwa anatufaaTulishindwa kutafuta mtu sahih pale baada ya costa kuondoka
Mawazo yasiyo na tija hayaDhambi kubwa inayotutafuna ni kuachana na Diego Costa
Epl inahitaji straiker typical ya Diego Costa ambao wataweza kupamban na defenders wenye roho ngumu...Mawazo yasiyo na tija haya
Mamluki on fireDAAHA AISEE IV NN KINAENDELEA KTK TINU YETU NAHC KAMA WACHEZAJ WAMEGOMA AU KUKATA TAMAA SABABU YA CONTE KUENDEKEZA MAJUNGU KWA KOCHA WA MANURE KULIKO KUITENGENEZA TIMU DAAAH INAUMA
Bali ni zwazwa...Kwa bahati nzuri Hazard siyo bwabwa
Leo sijamuona kabisa hazard
Hii makitu ya 3-5-2 sijui kaiokota wap. Sioni Chelsea ya kupata matokeo hivo karibuni