Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea nyie niliwaambia wehu tu hamtuwezi sisi man yu.
0879a15632104c9c4a244f44900c74ab.jpg
Man u kaingiaje hapa mkuu????
 
We needed different approach, regardless
Different approach hukuiona alipotoka Drinkwater akaingia Willian? Yani pale alitakiwa atoke Morata aingie Pedro.

Uliona ambavyo Willian aliongeza nguvu kwa Moses? Sasa Pedro angeenda kule kwa Alonso halafu Hazard abaki kati ungefurahi mwenyewe.

Alternatively, angetoka Fabregas aingie Willian ili Kante na Drinkwater wabaki kati.

Bakayoko haikuwa substitution nzuri ilionesha kocha ame-give up akaongeza ulinzi tu.
 
Swali, will Conte get it right next game? Kwa aina ya number 9 tuliyenaye tunatakiwa kuwa na more attacking options kule mbele, sio kuwaacha morata na hazard tu
 
yan conte ndo kamshindwa wenger kabisa enzi za Mou game na arsenal ni kma unacheza na stoke tu ila good thing ni kwamba Man U na totte anawaweza sna
 
Nimekushindwa kwa nini.? Wewe ndio umnishindwa hata kwenye ligi tu nimekuacha, pamoja na safu mbobu ya ushambuliaji nimekuzidi magoli katika PL. Huma kitu aseeh. Nimekuacha mbali sana
Kwan nani ana safu bora ya ushambuliaji?? Halafu mbona unakwepesha mada kijanja...,nani kAongelea EPL hapa??.....mimi nasemea head to head we unaleta vingine hapa.....,umeshinda only a single game out of 5 ulizokutana na arsenal halafu bado unapiga mikelele....
Kalale mzee nani.....
 
Katika hizo we umeshinda ngap.?
 
Tetesi

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte huenda akaondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom