Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tetesi

Mkufunzi wa Juventus Massimiliano Allegri na aliyekuwa kocha wa Barcelona Luis Enrique wanaongoza kurithi mahala pake. (Mail)
 
Tetesi

Manchester United na Chelsea wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Brazil Arthur Melo, 21, kutoka Gremio. (Star)
 
Ntahakikisha nashinda carabao....
Wakati we unashinda wanaume tutakua tumekaa tu tunakuangalia.? Hushindi chochote mpaka hata Iwobi ataondoka
73ef92c81e25a930ca4e6fa8b8b12a8e.jpg
 
Tukutane hapo kesho...

4811F31300000578-0-image-a-24_1515779908715.jpg


Nadhani Cahill keso lazima aanze baada ya kupumzishwa kati kati ya wiki.

4811F39900000578-5263897-image-a-32_1515781591264.jpg


Christensen na Azpilicueta watamaliza safu ya ulinzi.

4811F30B00000578-5263897-image-a-33_1515781633618.jpg


4811F31800000578-5263897-Morale_appeared_to_be_high_as_Bakayoko_and_playmaker_Eden_Hazard-m-37_1515781810592.jpg


Drinkwater au Bakayoko...mhhh...

4811F1FF00000578-5263897-image-a-34_1515781673749.jpg


Bado ningependelea Moses aanze hata akija kubadishwa baadaye. Defensive game yake ni better kuliko Zappacosta.


4811F27400000578-5263897-image-a-36_1515781788223.jpg


Naona tumeshindwa kabisa kupata mbadala wa Alonso. Hivyo kesho hana mpinzani.
 
4811F37900000578-5263897-image-a-38_1515781875675.jpg


Huyu ni kumuombea aamke na afya njema tu - kupangwa ni haki yake: Ngolo Kante.


4811F1E600000578-5263897-image-a-39_1515781945901.jpg


Huyu aendelee kusugua benchi akijifunza kwa wakubwa zake kwa sasa.
 
4811F30700000578-5263897-image-a-41_1515782032004.jpg


Hatumpendi ila ndo vile sasa..kesho anaongoza safu ya mashambulizi.

4811F2F300000578-5263897-image-a-43_1515782171444.jpg


Naona hajamwezea Morata bado..angekuwa anamsaidia sana kumpa pass za maana!

4811ED0300000578-5263897-image-a-45_1515782255082.jpg


Kipa namba nne kwa ubora duniani.
 
Nahisi kesho tutacheza tu 3-5-2 kama kawaida Ingawa ningetamani sana kama tungejaribu 3-4-3 au walau basi Morata atokee benchi tuanze na willian, hazard, pedro.

Anyway..go CHELSEA! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
771903e81e6f931f4e08cdf8c8555507.jpg
Eden Hazard has agreed to move to Real Madrid C.F. this summer. He has rejected another offer from Chelsea worth almost €18M per season. [RMC]
 
Umeona mkuu.
Msimu huu tunapiga mpira mwingi tatizo linakuwa katika umaliziaji .Abramovich asikurupuke kwa hili
Tim yetu naona inacheza mpira ktk mech kubwa tofauti na mwanzo cha msingi ampe player ambao conte anawahitaj
Conte haondoki yupo sn.
 
Umeona mkuu.
Msimu huu tunapiga mpira mwingi tatizo linakuwa katika umaliziaji .Abramovich asikurupuke kwa hili
Tim yetu naona inacheza mpira ktk mech kubwa tofauti na mwanzo cha msingi ampe player ambao conte anawahitaj
Antonio Conte insisted that he will not walk away from Chelsea at the end of the season, leaving his future at Stamford Bridge in the hands of the club

Asked if he would walk away, Conte replied: "No. Now I am fully committed to Chelsea, in this job, to work with my players and to try also to improve the club in the football aspect. I am fully committed in this. I am happy in what I am doing now and what I did in the past. But I am more happy in what I am doing now."

Antonio Conte
 
Umeona mkuu.
Msimu huu tunapiga mpira mwingi tatizo linakuwa katika umaliziaji .Abramovich asikurupuke kwa hili
Tim yetu naona inacheza mpira ktk mech kubwa tofauti na mwanzo cha msingi ampe player ambao conte anawahitaj

Hakuna worst decision kama imefanywa kwa kuangalia mbadala mzuri. Kusema kuwa hii ni worst decision ni kumaanisha kuwa duniani hakuna kocha anayemzidi Conte kwa ubora kitu ambacho sio kweli

Mimi nadhani uamuzi wowote wa kumbakiza au kumuandoa ni uamuzi sahihi kwa muda muafaka
Hata hivyo huko tunakoelekea ligi ya Uingereza sio kama ile ya enzi za Furgusson ya kocha mmoja kudominate ligi. Hii ligi ya sasa hata kama ni mzuri namna gani unafanya vizuri mwaka mmoja tui. Tumsubiri Guardiola mwaka ujao uone kitakachomkuta!

Hii sio ligi kama za La Liga, Bundesliga, Serie A na Ligue 1 ambapo Barcelona na Real Madrid, Bayern Munich, Juventus na PSG ndio wanaodominate miaka yote
 
Morata is not the only player who allowed to score just look at Man City every player scores
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom