Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Charge it again the battery you have....Hapa leo hatoki eti kampanga welbek duuuu kaishiwa kbxa
Charge it again the battery you have....Hapa leo hatoki eti kampanga welbek duuuu kaishiwa kbxa
Chelsea nyie niliwaambia wehu tu hamtuwezi sisi man yu.
![]()
Mimi nilishakwambia kwako wewe draw ni ushindi mkubwa. Pole sana dogoChelsea mtabaki kuwa vibonde kwa arsenal!!!
Mmepanga mistaa yenu yote halafu asenali kachanganyachanganya tena bila Wenger mnashindwa kuifunga gunners!!!!
Lazima mtokeeeee!!!!!
Hahahaha sister bana hawa jamaa wanavimbiana sana kisa mji mmojaYani Chelsea na Arsenal mmegoma kufungana kabisa.
Mkuu tulikua tunacheza na Arsenal. Man U katoka wapi.?Chelsea nyie niliwaambia wehu tu hamtuwezi sisi man yu.
![]()
Huyu mtoto bila majeruh ni bonge la mchezaji![]()
shuti la Victor Moses limezua balaa...
wanakera sana.Hahahaha sister bana hawa jamaa wanavimbiana sana kisa mji mmoja