Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuu nitonye wanaonesha wapiiiAfadhali Bakayoko hajaanza aseeeh..
Mkuu nitonye wanaonesha wapiiiAfadhali Bakayoko hajaanza aseeeh..
HohoTetesi
Klabu ya Uhispania ya Sevilla ina hamu ya kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Michy Batshuayi, 24, kwa mkopo. (ESPN)
Lakini mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte amesema anafuraha anampenda mchezaji huyo wa Ubelgiji ambaye ameichezea Chelsea mara mbili pekee. (Sky Sports)
Hawana kibaliIna maana hii game dstv dstv hawaoneshi?
Asante mkuuHawana kibali
Mkuu mi mwnyw sianfalii. Nipo tu gheto nafuatilia matokeo kwenye simu nitaangalia highlight baadaeMkuu nitonye wanaonesha wapiii
DSTV hawaonyeshi hii michuano naona! Sehemu ya kuangilia ni Online kwa sasaIna maana hii game dstv dstv hawaoneshi?
Hiyo mechi gani Chelsea na stoke ama???My prediction
Chelsea 3
Arsenali 1