Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

happy-new-year-2018-gif+%282%29.gif
 
Kwa mchezo wa Newcastle nilisema hao mancity walicheza tu kawaida. Tungoje sasa mwaka mpya na mambo mapya
Man city kwa kilichotokea jana na kuumia kwa tegemeo lao mapafu ya mbwa K D nawaona wakiachia point katika mechi zinazofuata ....kwanza wale vigogo wote hawatokubal kufungwa mara 2 apo advantage kwa chelsea make naona moto ushawashwa kimya kimya

Mwezi wa tatu tutakuwa nyuma point chache mno au kuwa juu
 
Sio kirahisi kama unavyodhani,msimu huu Guardiola amedhamiria kweli kweli na KDB huendea akakosa mechi mbili na ya tatu akapumzishwa ili kuisubiri mechi ya Liverpool.
Hizo mechi tatu zenyewe zote wanacheza Etihad na ni dhidi ya Watford(EPL),Burnley(FA Cup) na Bristol City(Carabao Cup).
Vile vile ukiangalia depth yao pale kati wana Gündogan na Benardo Silva ambao wote wanaweza kuchukua nafasi ya KDB wakisaidiana na David Silva na kufanya pengo lake lisiwe kubwa sana especially ukiangalia uzito wa hizo game ambazo KDB atazikosa.
Nadhani Big issue kwa Guardiola ni majeruhi ya Jesus ambayo yatamuweka nje kwa miezi miwili na ukizingatia amebakiwa na Agüero pekee kama senior striker ambaye makali yake yamepungua msimu huu compared to misimu ya nyuma na ana mashindano manne hadi sasa hapo ndo patamu.
 
Hapana si kweli,Head Coach ama kwa kiswahili kocha mkuu wa timu/klabu,yeye anakuwa na mamlaka juu ya kikosi chake tu kwa maana wachezaji alionao tu wakati Team Manager anakuwa na authority kubwa katika klabu kuanzia kikosi chake hadi nje ya kikosi kwa maana katika maswala ya usajili wa wachezaji na pia anakuwa na sauti katika bodi ya timu mfano Sir Alex Ferguson alivyokuwa pale United au Arsene Wenger pale Arsenal.
Chelsea katika kumbukumbu zangu kama bado nakumbuka vizuri haijawahi kuwa na Manager na kama ilishawahi kuwa nae basi ni Mourinho tu.

Kwa kuongezea pia manager hana majukumu wala sauti kubwa kwenye usajili kuna mtu anaitwa technical director au football director huyu ndo ana sauti kwenye board yeye ndio anaongoza organ muhimu kiufundi za club kama scouting,transfer na managment ya team ambapo manager anakuw chini yake akiwa na majukumu ya kumanage team ikiwemo youth programs mpaka kikosi cha kwanza then chini ndo anakuwepo first team coach na makocha wa timu za vijana au wanaake
 
Sio kirahisi kama unavyodhani,msimu huu Guardiola amedhamiria kweli kweli na KDB huendea akakosa mechi mbili na ya tatu akapumzishwa ili kuisubiri mechi ya Liverpool.
Hizo mechi tatu zenyewe zote wanacheza Etihad na ni dhidi ya Watford(EPL),Burnley(FA Cup) na Bristol City(Carabao Cup).
Vile vile ukiangalia depth yao pale kati wana Gündogan na Benardo Silva ambao wote wanaweza kuchukua nafasi ya KDB wakisaidiana na David Silva na kufanya pengo lake lisiwe kubwa sana especially ukiangalia uzito wa hizo game ambazo KDB atazikosa.
Nadhani Big issue kwa Guardiola ni majeruhi ya Jesus ambayo yatamuweka nje kwa miezi miwili na ukizingatia amebakiwa na Agüero pekee kama senior striker ambaye makali yake yamepungua msimu huu compared to misimu ya nyuma na ana mashindano manne hadi sasa hapo ndo patamu.
Trust me tena timu ndogo ndo zitamsumbua sana angalia mechi 4 za hivi karibuni ushindii unakuwa wa kuforce sio kama alivoanza

Silva na huyo mwenzake hawawezi kucheza na kupatia role anayofanya K D B ....angalia flow ya mpira inaanzaje wakiwa na huyu jamaa japo sipingi ubora wao ila asipokuwa makini na kuja na plan B timu zitamsumbua

Nahisi mechi inayofuata itakupa majibu kamiliii . ....
 
Guadiola akikosa ubingwa msimu huu kiti kitakuwa cha moto kile
So chelsea tuachane na habari za ubingwa wa epl
Point 15 ni nyingi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom