Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tetesi
CHELSEA YAMTAKA BEKI WA PORTO


Chelsea wanamfuatilia beki wa kushoto wa Porto Alex Telles kwa lengo la kumsajili dirisha la uhamisho wa Januari, kwa mujibu wa A Bola .
Antonio Conte amekuwa akiangalia uwezekano wa kupata beki mpya wa kushoto na kwa muda mrefu amekuwa akimfuatilia mchezaji wa Juventus raia wa Brazili Alex Sandro.
Hata hivyo, Conte sasa ametuma maskauti kumchunguza Mbrazili mwingine Telles, ambaye amekuwa aking'ara Porto.
 
Wakati mwingine performance ya Hazard inakua low kwa sababu ya ile 3-5-2 ambayo inamfanye yeye na morata pekee ndo wabaki pale mbele, kwa hiyo inamfanya Hazard anarud kucheza chini ya Morata badala ya kutokea pembeni ambako anapaweza zaid, mfumo mzuri ni kama ule wa game ya jana ya stoke wa 3-4-3 unaongeza kasi ya attacking...
Mfumo wa 3+5+2 unaangushwa na Bakayoko maana bado hajawa tishio na yeye ndio mchezaji pekee anaetakiwa kupanda mbele kwa kasi na kurudi nyuma. Maana Faby na Kante muda mwingi hua wako chini ili kuweza kutoa pass. Ndio mana Km juventus ya Vidal, Pogba na Perlo ilikua moto kwasbbu ya upambanaji wa Pogba na Vidal. Huku Pirlo alikua akicheza kwa chini kwa ajili ya kuvurumisha pass km afanyavyo Faby.

Tunahitaji Vidal hapo ili ku rain force kikosi chetu
 
1. Sahihi kabisa Willian kuwa man of the match

2. Morata!

3. Batshuayi apelekwe mkopo au auzwe tutafute alternative striker

4. Bakayoko naye...!

5. Cahill, good job my captain! Harembi na mpira kabisa. Nimependa uvhezaji wake aisee

6. Rudiger...mnampa kocha kazi ngumu sana kuchagua kikosi cha kuanza hapo nyuma! Good job kwa leo ingawa mechi kubwa bado ningependelea Azpilicueta, Christensen, Cahill.

7. Luiz namuonea huruma. Standard iliyowekwa na Christensen na Rudiger ni kubwa akija akaanza kuremba mpira benchi litamhusu sana

8. Ninatamani kuwaona tena Kenedy na Musonda soon.
Morata ananiuzi sn...
 
Mfumo wa 3+5+2 unaangushwa na Bakayoko maana bado hajawa tishio na yeye ndio mchezaji pekee anaetakiwa kupanda mbele kwa kasi na kurudi nyuma. Maana Faby na Kante muda mwingi hua wako chini ili kuweza kutoa pass. Ndio mana Km juventus ya Vidal, Pogba na Perlo ilikua moto kwasbbu ya upambanaji wa Pogba na Vidal. Huku Pirlo alikua akicheza kwa chini kwa ajili ya kuvurumisha pass km afanyavyo Faby.

Tunahitaji Vidal hapo ili ku rain force kikosi chetu
1. Bakayoko na Morata

2. Vidal hapana! Naye ni kama Costa. Ana hasira mno.
 
1. Sahihi kabisa Willian kuwa man of the match

2. Morata!

3. Batshuayi apelekwe mkopo au auzwe tutafute alternative striker

4. Bakayoko naye...!

5. Cahill, good job my captain! Harembi na mpira kabisa. Nimependa uvhezaji wake aisee

6. Rudiger...mnampa kocha kazi ngumu sana kuchagua kikosi cha kuanza hapo nyuma! Good job kwa leo ingawa mechi kubwa bado ningependelea Azpilicueta, Christensen, Cahill.

7. Luiz namuonea huruma. Standard iliyowekwa na Christensen na Rudiger ni kubwa akija akaanza kuremba mpira benchi litamhusu sana

8. Ninatamani kuwaona tena Kenedy na Musonda soon.
Kwa asilimia kubwa Luiz atauzwa
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, hajakaataa kuongeza kandarasi na mabingwa hao watetezi wa Uingereza licha ya madai kutoka kwa babake kwamba anataka kuhamia Real Madrid.(Independent)
 
Tetesi
Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte anajiandaa kumnunua kiungo wa kati wa Everton na Uingereza Ross Barkley, 24. (Telegraph)
 
Tumvumilie Bakayoko maana ni msimu wake wa kwanza.Morata tatizo lake kubwa nnaloliona ni finishing ya chini lakini anacheza poa sana.
 
Here's 11 Facts About Chelsea That Chelsea Fans Already Know.

BCD0C814-E4F2-24FF-4333-AC0CC860DD3F_Diego-Costa-John-Terry-and-Didie-Drogba-Celebrating-a-Goal-at-Chelsea.jpg


1.
Chelsea (jointly with Arsenal) were the first clubs to play with numbered shirts - on 25 August 1928 in their match against Welsh side Swansea City.

2. Chelsea's highest appearance-maker is Ron Harris, who played in 795 first-class games for the club between 1961 and 1980.

3. With 86 caps, Frank Lampard is Chelsea's most capped international player.

4. Bobby Tambling is Chelsea's all-time top goal scorer, with 202 goals in 370 games (1959–70).

5. Chelsea hold the record for the highest ever points total for a league season (95) and the fewest goals
conceded during a league season (15) - under the management of Jose Mourhino in 2004/05.

6. Chelsea became the first British side to field an entirely foreign starting line-up in a Premier League match - against Southampton in December 1999.

7. The club's 21–0 victory over Jeunesse Hautcharage in the UEFA Cup Winners’ Cup in 1971 remains a record in European competition.

8. On 19 May 2007, they became the first team to win the FA Cup at the new Wembley Stadium.

9. Chelsea hold the record for the longest streak of unbeaten matches at home in the English top-flight, which lasted 86 matches from 20 March 2004 to 26 October 2008.

10. Chelsea holds the record for the highest home attendance match - against Arsenal with an attendance of 82,905 on the 2 October 1935.

11. Chelsea's mascot is a lion taken from their club logos and named Stamford The Lion. In July 2005 the costume was stolen from Stamford Bridge.

image: © marc_tacoma

Chelsea has the fourth-highest home attendance record (82,905) of English football clubs
 
Chelsea Best First XI Squad of the Past Decade Ended 2010

Owner Roman Abramovich
Roman interest while in Russian was Tottenham Hotspurs but when landed to London, he was interested to buy Chelseaand suddenly the deal was changed.

Manager: Jose Mourinho
The arrival of charismatic Portuguese manager Jose Mourinho seemed to marry well with Roman’s rubles, yet the seeds of success had been planted years, even decades before, as the Blues firmly established themselves as a strong cup-team. Only, in the noughties, they became a feared title-winning outfit.

Formation: 4-3-3

Petr%20Cech.jpg

1.) Petr Cech (2004-2015 )

Mario%20Melchiot.jpg

2.) Mario Melchiot (1999-2004)

John%20Terry.jpg

3.) John Terry (1998-2017)

Marcel%20Desailly.jpg

4.) Marcel Desailly (1998-2004)

Ashley%20Cole2.jpg

5.) Ashley Cole (2006-2014)

Claude%20Makelele.jpg

6.) Claude Makelele (2003-2008)

Michael%20Essien.jpg

7.) Michael Essien (2005-2014)

Frank%20Lampard.jpg

8.) Frank Lampard (2001- 2014)

Gianfranco%20Zola.jpg

9.) Gianfranco Zola (1996-2003)

Jimmy%20Floyd%20Hasselbaink.jpg

10.) Jimmy Floyd Hasselbaink (2000-2004)

Didier%20Drogba%20.jpg

11.) Didier Drogba (2004-2012; 2014-2015)

Source: Chelsea Best First XI Squad of the Decade for 2000’s
 
Naridhika sana kwa sababu anafanya kwa kujitahidi mno huwezi kuamini huu ndio msimu wake wa kwanza
Anajitahidi mno japo hajafikia kiwango cha juu
Lakini kwa msimu wake wa kwanza amejitahidi mno
Ana nidham na juhudi, hiyo ni mtaji wa kukukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom