Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii team ikitumia 3-4-3 inavutia sana
Ule wa 3-5-2 bado hawajauzoea
Ila team inavutia kuitazama
Rudiger anavutia sana kwa kazi anazofanya maana anakaba na anapanda. Hii inavutia sana
Drinkwater leo kaifanya kazi yake vizuri mno
Alilishika dimba la kati vizuri sana
Wiliani alikuwa vizuri mno kwangu mimi huyu ndiye man of the match
Hatakiwi kuuzwa huyu wilian
Zapacosta aliongeza ubora wake pale alipoingia na kuifanya team iendelee kuumiliki mpira

Cha muhimu naona team inaelewana sana hivi sasa na wanaupiga mwingi sana

Hongera kwa conte maana najua hii ni kazi yako
Wakaa bench walikuwa wanatabasamu tu hasa hazard
 
dc88999457cda1dc06894df925f5a872.jpg
 
Tatizo sio conte
Tatizo ni wale wanaosimamia huo usajili
Ye akisema anamtaka fulani huenda akapata au asimpate
Kumbuka conte sio manager bali ni cocha tu
Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale wale
 
Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale wale
Hapana si kweli,Head Coach ama kwa kiswahili kocha mkuu wa timu/klabu,yeye anakuwa na mamlaka juu ya kikosi chake tu kwa maana wachezaji alionao tu wakati Team Manager anakuwa na authority kubwa katika klabu kuanzia kikosi chake hadi nje ya kikosi kwa maana katika maswala ya usajili wa wachezaji na pia anakuwa na sauti katika bodi ya timu mfano Sir Alex Ferguson alivyokuwa pale United au Arsene Wenger pale Arsenal.
Chelsea katika kumbukumbu zangu kama bado nakumbuka vizuri haijawahi kuwa na Manager na kama ilishawahi kuwa nae basi ni Mourinho tu.
 
Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale wale
Anayehusika na sera za transfer pamoja na kutafuta wachezaji chipukizi na kuwaweka kwenye academy nafikiri ni Technical Director (nafasi iko tupu kwa sasa), Anayehusika na outbound and inbound transfers pamoja na negotiation na lobbying ni Multilingual Director, Marina Granovskaia ambaye ni mtu wa karibu sana na owner. Anayeidhinisha wachezaji kuajiriwa ni Owner, Roman Abramovich (ana final say)
 
1. Sahihi kabisa Willian kuwa man of the match

2. Morata!

3. Batshuayi apelekwe mkopo au auzwe tutafute alternative striker

4. Bakayoko naye...!

5. Cahill, good job my captain! Harembi na mpira kabisa. Nimependa uvhezaji wake aisee

6. Rudiger...mnampa kocha kazi ngumu sana kuchagua kikosi cha kuanza hapo nyuma! Good job kwa leo ingawa mechi kubwa bado ningependelea Azpilicueta, Christensen, Cahill.

7. Luiz namuonea huruma. Standard iliyowekwa na Christensen na Rudiger ni kubwa akija akaanza kuremba mpira benchi litamhusu sana

8. Ninatamani kuwaona tena Kenedy na Musonda soon.
 
Kwa bakayoko nitaendelea kukupinga tu
Morata leo kiukweli hakuwa na mchezo mzuri
 
Wakati mwingine performance ya Hazard inakua low kwa sababu ya ile 3-5-2 ambayo inamfanye yeye na morata pekee ndo wabaki pale mbele, kwa hiyo inamfanya Hazard anarud kucheza chini ya Morata badala ya kutokea pembeni ambako anapaweza zaid, mfumo mzuri ni kama ule wa game ya jana ya stoke wa 3-4-3 unaongeza kasi ya attacking...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom