Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Tuko nyumbani hawa hawastahili kupata hata gili moja
Hii ndo Chelsea hasa. Hazard tupa kule
Najua na possibly amewekwa akiba kwa ajili ya mechi ya Arsenal lakini sijapenda kitendo chake kukataa kuongeza mkataba kwa sababu Eti anataka kwenda MadridMkuu ni aina tu ya timu tunayocheza nayo. Hazard anaumuhimu wake sana
Wachezaji wote nadhani wapo hivyo, kwa kizazi hiki hakuna mfia timu. Anaangalia maslahi yake basi. Hivyo basi hata chelsea wakiweka hela na mipango anaweza kubakiNajua na possibly amewekwa akiba kwa ajili ya mechi ya Arsenal lakini sijapenda kitendo chake kukataa kuongeza mkataba kwa sababu Eti anataka kwenda Madrid
Mkuu yeye anaangalia mslahi yake. Mshahara aloandaliwa ni mnono kweli lakini nadhani kuna kingine anahitajiNajua na possibly amewekwa akiba kwa ajili ya mechi ya Arsenal lakini sijapenda kitendo chake kukataa kuongeza mkataba kwa sababu Eti anataka kwenda Madrid
Huyu mjerumani ni beki jembe sana alieshikilia mpiniChelsea (Rudiger 03') 1 - 0 Stoke City
Bao lake la kwanza tangu aje chelseaDrinkwater la pili
Huyu kukaa benchi ni ngumu ana match zake anacheza poa sana kama ile ya brighitonNje ya (18).. Bora Bakayoko akae benchi tu
Hapa sikuungi mkonoHii ndo Chelsea hasa. Hazard tupa kule
Hahahaaa ngoja niyaache hivi hivi maana naona stoke city wanakaba tu sasa hiviOngeza mawili hapo yawe 5-
Hii team inanifurahisha sana siku hiziTeam inaposses mpaka 74%!
Conte ameshaimbia chelsea hakuna kuuza hazard wala kipa wetuNajua na possibly amewekwa akiba kwa ajili ya mechi ya Arsenal lakini sijapenda kitendo chake kukataa kuongeza mkataba kwa sababu Eti anataka kwenda Madrid
Nakubaliana na weweRotation ni muhimu sana pale timu inapokuwa na mechi nyingi mbeleni kwangu ni sawa Conte alivyopumzisha wachezaji
Bwashee zile 5 tayariHahahaaa ngoja niyaache hivi hivi maana naona stoke city wanakaba tu sasa hivi