lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Mkuu sio tu alimfundisha, Wenga ndie aliyemwibua George Weah kutoka katika klabu ya Tonnerre Yaoundé ya mji wa Younde Cameroun mwaka 1988 na kumpeleka kwenye ligi za Ulaya wakati huo Arsene Wenga akiifundisha Monaco kabla hajaamia Arsenal. Wenga alimpenda sana kama kijana wake na alimpa upendelea mkubwa sana na kumsaidia mpaka akafikia viwango na jina alilonalo sasa. Weah hatamsahau kabisa Wenga kwani japokuwa wakati huo ubaguzi wa rangi ulikuwa kwenye peak duniani lakini wenga alimtunza sana kama kijana wakeFact of the day
Arsene Wenger has coached the president of Liberia, George Weah!
Kwa maelezo zaidi unaweza kufuata hii link hapa
George Weah Ashinda Uchaguzi Mkuu wa Urais Liberia 2017