Chelsea FC (The Blues) | Special Thread



OK, lakini naona hukusoma paragraph mbili za mwisho alizocomment mwandishi, utaona kwamba sio kweli kwamba club ndio inafanya decision....just very simple interpretation of the PL rules....angalia hapo:

 
Chelsea v Manchester United rescheduled for 1 March


Snow caused havoc to weekend football fixtures list


The postponed Premier League encounter between title rivals Chelsea and Manchester United has been provisionally rescheduled for 1 March.
 
Nawatakia wadau wote wa soka Christmas njema na mwaka 2011 wenye mafanikio.

Wazee wote wa darajani Stamford, Rev Masa, EL NINO, Rev Kishoka, Sanda Matuta, Ab-Titchaz, AljuniorTz na Invisible, bila kusahau wakongwe wa Old Trafford, Manda, Belo, Eqlypz, Idimi na Ngongo, pia washika bunduki wa Emirates, Arsene Wenger, Mbu, Kweli, Wacha1, Balantanda, Baba Mkubwa, Genekai, Questt, Bubu Ataka Kusema na Ng'wanza Madaso,....mzee Shedafa wa WHL na Acid wa Anfield na wengine wote ambao sikuweza kuwakumbuka kwenye post hii, I wish you and your loved ones a Merry Christmas and Happy New Year.
 
Peasant, rev kishoka,masanilo, ab-ticha, invisible na wadau wote wa darajani merry christmas na happy new year.
 

...Very same to you Peasant,
kila la heri kwako na familia yako na wapenzi wooote wa majukwaa ya michezo na JF kwa ujumla.
 
...you too Peasant; and Happy Holidays to all fans of Sports & Entertainment Forum.
 
Natafuta Jezi ya Manure, ohh sor ya Bluzi, nivae leo Emirata. Wadau, msaada tutani!
 
Peasant, rev kishoka,masanilo, ab-ticha, invisible na wadau wote wa darajani merry christmas na happy new year.

Asante Kiongozi! Nimeambiwa leo Drogba anacheza kwa mguu mmoja na macho yanafunikwa kwa kitambaa!
 
Its HT......So far am Happy ila Not sure yet.......
 
Bado NASRI and VP on Score sheet.....So bado mapambano yananendelea.......Hawa Tunawapiga MKONO.......TRUST ME
 
Jukwaa limekimbiwa... Yani nyie jamaa bado nawamind kwa kupostpone mechi yetu.
 
Inaelekea huku wenyewe hawapo. Haya alamsiki.
 
Duuh! Leo tumecheza hovyo sana. Hongera zenu Arsenil, you deserve the win.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…