Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapana,Ancelotti ni moja kati ya makocha ambao bado wana nafasi katika mpira wa sasa kutokana na his style of play kama umemfatilia vizuri kwanzia AC Milan,Chelsea,Real Madrid na Bayern München na ukalinganisha na mpira wa sasa nadhani utapata majibu.
ANGALIZO:SISEMI CHELSEA IMFUKUZE CONTE NA KUMLETA ANCELOTTI
Ukifatilia huko nyuma mambo yake alikua vzr lkn mpira wa sasa umebadilika sn. Mfano mipira ya sasa haina typical striker mfano kusimamisha no 9 halisi km ilivokua zamani Hakuna. Ndio mana nasema mipira ya sasa imebadilika na babu Ancelotti atulie tu na mipira yake ya kizamani
 
Angalia Liverpool wanavocheza na false striker angalia City kina Kuna na Jesus wapo tu km picha. Angalia Chelsea ikianza na Hazard km false striker akisaidiwa na Willian na Pedro mpira unakua hatari kuliko Morata akiwepo.

So technology ya mpira na tactics zinabadilika sn. Ata aina ya upakiji bus km wa Mourinho zamani umefail siku hizi. Conte ndo anapaki bus ngumu England nzima.
 
Na timu zake always zinaundwa na wazee lakini wazee wanaoweza shughuli,unaikumbuka Chelsea yake ya 2009/2010 ambayo ilibeba EPL,FA pamoja na ngao ya jamii katika msimu wake wa kwanza.
Cech/Hilario,Ivanovic/Bosingwa,Carvalho/Alex,
Terry,Cole/Zhirkov,Essien/Mikel,Ballack,
Lampard,Anelka/Joe Cole,Drogba,Malouda/Kalou.

Angalizo:Sina maana Conte afukuzwe nimejaribu kuonyesha tu kwamba Ancelotti ni moja ya makocha bora kwa upande wangu.
Unajua Anceloti alishindwa nini pale Bayern Munich? Alishindwa kuwapa vijana mazoezi yanayoendana na kasi ya ligi ya kileo. Mastaa wachache ilibidi wajitengee mazoezi binafsi. Unajua kwa nini Pep Guardiola anashinda allmost everygame. City wanapewa mazoezi ya pumzi ya kufa mtu. Pamoja na trick zingine Mazoezi ya nguvu ndio pekee silaa ya kuhimili ushindani uwanjani. SIsemi akili, mikakati, mbinu na ubunifu binafsi uwanja hazitakiwi ongeza na nguvu inakuwa balaa. Kwa bahati mbaya anceloti kama Jose Mounrinho bado wako na ile football ya kizamani ya kutegemea akili na ujanja ndio upige bingo ya magoli
 
Angalia Liverpool wanavocheza na false striker angalia City kina Kuna na Jesus wapo tu km picha. Angalia Chelsea ikianza na Hazard km false striker akisaidiwa na Willian na Pedro mpira unakua hatari kuliko Morata akiwepo.

So technology ya mpira na tactics zinabadilika sn. Ata aina ya upakiji bus km wa Mourinho zamani umefail siku hizi. Conte ndo anapaki bus ngumu England nzima.
" Conte ana paki basi gumu England nzima "

[emoji23] [emoji23]
 
We angalia tu ktk game kubwa za away km LFC na ile ya Spurs na ile ya City Home. Lilipakiwa bus la hatari. Hilo ndio litaenda kupakiwa Camp Nou kwa Barcelona mana kwa hapo Darajani tutawashambulia vibaya sn....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wee jamaa unaujua sana bhanaa, yani naishia kucheka tuu.
 
Ukifatilia huko nyuma mambo yake alikua vzr lkn mpira wa sasa umebadilika sn. Mfano mipira ya sasa haina typical striker mfano kusimamisha no 9 halisi km ilivokua zamani Hakuna. Ndio mana nasema mipira ya sasa imebadilika na babu Ancelotti atulie tu na mipira yake ya kizamani
Either unaongozwa na mihemko au kutokumjua vizuri Ancelotti lakini umeamu tu kuniqoute.
Unasema mipira ya sasa haina typical striker ukitolea mfano kusimamisha no 9 halisi kama ilivyokuwa zamani.Kwahiyo unataka kuniambia Cavani,Icardi,Suarez,Higuain,Kane,Agüero,
Morata,Lacazette,Lukaku n.k hao sio namba tisa halisi? hao ni false 9?
 
Ndiyo maana nimeuliza!
Fans wengi,kucheza kiwanja mlicho kizoea,kutokuwa na uchovu wa safari compared to away team,fans wachache kwa away team,kuzoea hali ya hewa ya eneo lenu compared to away team and many others.
Haujawahi kujiuliza kwa nn away games ni ngumu sana?
 
Either unaongozwa na mihemko au kutokumjua vizuri Ancelotti lakini umeamu tu kuniqoute.
Unasema mipira ya sasa haina typical striker ukitolea mfano kusimamisha no 9 halisi kama ilivyokuwa zamani.Kwahiyo unataka kuniambia Cavani,Icardi,Suarez,Higuain,Kane,Agüero,
Morata,Lacazette,Lukaku n.k hao sio namba tisa halisi? hao ni false 9?
Ancelotti namtambua vzr sn tena uwezo wake nautambua sn ktk kabumbu lkn nikukumbushe kitu, Hawa wazee zama zao zilishakwisha ndio mana uliona ata akiwa Madrid aliweza kurithiwa na msaidizi wake. Mambo yamebadilika sn. Mfano nimetolea huo wa no 9 kiuhalisia huwezi elewa vzr au kuona mantiki yake lkn in fact ni kwamba ata mijadala mkubwa huko majuu siku hizi ni kukosekana hawa no 9 typical.

BTW Sina mhemko wowote juu ya hili. I respect Carlo Ancelotti Alitup double win na ni kocha mkubwa sn lkn kwa sasa amuache tu Conte apige kz....
 
Na timu zake always zinaundwa na wazee lakini wazee wanaoweza shughuli,unaikumbuka Chelsea yake ya 2009/2010 ambayo ilibeba EPL,FA pamoja na ngao ya jamii katika msimu wake wa kwanza.
Cech/Hilario,Ivanovic/Bosingwa,Carvalho/Alex,
Terry,Cole/Zhirkov,Essien/Mikel,Ballack,
Lampard,Anelka/Joe Cole,Drogba,Malouda/Kalou.

Angalizo:Sina maana Conte afukuzwe nimejaribu kuonyesha tu kwamba Ancelotti ni moja ya makocha bora kwa upande wangu.
Lakini sio kwa Chelsea hatumuhitaji
 
Ancelotti namtambua vzr sn tena uwezo wake nautambua sn ktk kabumbu lkn nikukumbushe kitu, Hawa wazee zama zao zilishakwisha ndio mana uliona ata akiwa Madrid aliweza kurithiwa na msaidizi wake. Mambo yamebadilika sn. Mfano nimetolea huo wa no 9 kiuhalisia huwezi elewa vzr au kuona mantiki yake lkn in fact ni kwamba ata mijadala mkubwa huko majuu siku hizi ni kukosekana hawa no 9 typical.

BTW Sina mhemko wowote juu ya hili. I respect Carlo Ancelotti Alitup double win na ni kocha mkubwa sn lkn kwa sasa amuache tu Conte apige kz....
sawa mkuu naomba niheshimu mawazo yako
 
Manchester City are ready to join Arsenal and Chelsea in the chase to sign winger Wilfried Zaha, 25, from Crystal Palace for
£40m. (Daily Mirror)

Arsenal are plotting a move for Chelsea defender David Luiz, 30. (Daily Express)

Real Madrid are in advanced negotiations with Chelsea midfielder Eden Hazard, 26, over a move to the Bernabeu. But Real midfielder Marco Asensio, 21, has told the club he will leave if Hazard joins. (Diario Gol, via Daily Star)

Atletico Madrid striker Antoine Griezmann, 26, could be set to join Barcelona. (5 live)

Borussia Dortmund are in prime position to end Henrikh Mkhitaryan's struggles at Manchester United, with the Germans expressing an interest in bringing the 28-year-old midfielder back to his old club. (Independent)

Chelsea manager Antonio Conte has told his club's Premier League rivals that they cannot afford to allow Manchester City to sign defender Virgil van Dijk, 26, from Southampton. (Goal)

Southampton boss Mauricio Pellegrino will recommend to the
Saints board that they resist any offers for Virgil van Dijk in January. (Daily Echo)

West Ham are preparing moves for Liverpool striker Danny Ings, 25, and Bournemouth midfielder Harry Arter, 27, in
January. (Daily Star)

Arsenal are lining up a move for Reading's academy boss Lee
Herron to work under Per Mertesacker when he takes charge of the club's academy next season. (Metro)

Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang, 28,
has extended his contract with the German club, having been linked with Europe's big guns — including Premier League sides. (Daily Mirror)

Barcelona striker Luis Suarez says Liverpool playmaker Philippe Coutinho would be welcomed at the Catalan club. Coutinho, 25, has been regularly linked with a move to the Nou Camp. (Liverpool Echo)

Liverpool manager Jurgen Klopp has squashed suggestions RB Leipzig midfielder Naby Keita could join the Reds in january. A deal has already been agreed for the 22-year-old to move at the end of the season. (Daily Express)

John Obi Mikel has dismissed reports linking him with a move back to the Premier League with Everton . The 30-year-old midfielder says he is happy playing in the Chinese Super League for Tianjin Teda. (Tianjin TV, via Daily Mail)

Paris St-Germain manager Unai Emery has suggested the club could be in the market for a defensive midfielder in the
January transfer window. Regular holding midfield player Thiago Motta has missed much of the last six weeks with a knee injury. (FourFourTwo)

Lazio midfielder Sergej Milinkovic-Savic, 22, says he "doesn't care" if Manchester United have been watching him in recent weeks. (Mediaset Premium, via Metro)

The Daily Mirror links Wilfried Zaha to Manchester City

Meanwhile...
Former Manchester United manager Louis van Gaal has revealed the only thing that could prompt him to return to club management is the chance to exact revenge on the Red Devils. (De Telegraaf, via Evening Standard)

Former Chesterfield goalkeeper Tommy Lee, 31, has revealed he took around 4,000 painkillers during his career before retiring in October. (The Times - subscription required)

Chelsea are preparing to open talks with defender Andreas Christensen at the start of 2018 after the 21-year-old's
impressive displays. (London Evening Standard)

Stoke City chairman Peter Coates has assured supporters he is just as concerned as they are about the club's recent
demise. (Stoke Sentinel)

Swansea defender Angel Rangel believes the passing style the club won plaudits for over recent years has been lost.
(Independent)

Real Madrid want to sign Mohamed Salah from Liverpool and are convinced the Anfield side will sell the Egypt winger for 100m euros or in a player-plus-cash deal involving Wales forward Gareth Bale. (Calciomercato, via Teamtalk)

Former Manchester United manager Louis van Gaal says he is "most likely done as a coach" but could be persuaded to manage a big English club. (Der Telegraph - in Dutch)

Chelsea boss Antonio Conte believes it is important Manchester City are prevented from signing Southampton and
Netherlands defender Virgil van Dijk.
(London Evening
Standard)

Meanwhile, Liverpool will not make a move for Van Dijk unless Saints lower their £70m valuation of the 26-year-old.
(Irish Independent)

The future of manager Rafael Benitez is key to a potential takeover of Newcastle United going through. The club's prospective new owners will pull out of buying the club if he is sacked.
(Evening Chronicle)
 
The sun na Metro wameripoti kuwa Man United wanaandaa Paundi mil 90 kumnunua Eden Hazard huku Daily mail wakiripoti kuwa Hazard yuko kwenye mazungumzo ya kina na Real Madird kuhamia huko baada ya Kombe la dunia kule Urusi. Tayari mabosi wa Real Madrid wameshampa kibali ZZ Zizou kumnasa Eden

Wasiwasi wangu ni Je Jose Monrinho na Hazard wameshakuwa marafiki tangu lini
eden-hazard-jpg.655263

UNITED'S EDEN PROJECT

Manchester United eye £90million Eden Hazard deal as Jose Mourinho wants reunion with Chelsea star

Blues ace has already turned down a new £300,000-a-week four-year Stamford Bridge deal as he considers his options

Chelsea star Eden Hazard in 'advanced negotiations' with Real Madrid... as Marco Asensio tells them he will leave if Belgian arrives after the World Cup

· Eden Hazard has been linked with a move away from Chelsea in the summer, 2018

· Reports in Spain claim that Hazard is in 'advanced negotiations' with Real Madrid

· Marco Asensio has 'told Madrid he will leave if Hazard arrives at Bernabeu'

· Manchester City are said to be keen on youngster Asensio if he leaves Madrid

Hazard bado hajakubaliana na uongozi wa Chelsea kuhusu mkataba wake kwani mpaka sasa ameshakataa proposal ya kulipwa Paundi 300,000 kwa wiki
 
Attachments

  • Eden Hazard.jpg
    Eden Hazard.jpg
    95.9 KB · Views: 111

Similar Discussions

Back
Top Bottom