Hilo galasa lije kufanya nn huku tena...Tetesi
Carlo Ancelotti atarudi Stamford Bridge na kuwa meneja wa Chelsea kabla ya kuanza kwa msimu mpya. (Daily Record)
Hakuna coach hapo bonge LA zeroTetesi
Carlo Ancelotti atarudi Stamford Bridge na kuwa meneja wa Chelsea kabla ya kuanza kwa msimu mpya. (Daily Record)
Mkuu Mentor bakayoko hana shida sana hasa kadri sku zinavoenda.. Mi nnachokiona ni kuwa nyuma na katikati kwa ujumla tupo vzur ndiomana unaona hatufungwi hovyo na pia mipira mingi tunakuwa nayo ss na tunaposes kwa % kubwa na pia tunafanya mashambuliz meng sana..Bakayoko akiwepo kikosi kama hakina balance hivi. Kuna umuhimu wa kutafuta midfield mwingine. Sioni tofauti yake na Loftus Cheek bado.
Anyway, huu ni mtazamo wangu binafsi kabisa hauhusiani na uhalisia wa uwezo wake!!!
Mkuu, tuna macho tofauti. Ila mm Bakayoko amenifurahisha sana kwa mechi hizi. Ila kuna tatizo la ubutu kwenye forward yetu. Tuliwazidi Liverpool kwa magoli mengi ila sasa naona wametufikiaMoja kati ya wachezaji waliocheza vizuri leo ni Bakayoko mkuu kwa vipindi vyote.
Tatizo lenu ni la kiimani zaidi. Yani hamuwaani so hata mistake ndogo inaweza kuwafanye muone hawajafanya kitu.Ni kama mimi nilivyo sijawahi kumkubali cahill hata siku moja
Tutaanza kucheza mpira wa kizee kama akija huyo jamaaTetesi
Carlo Ancelotti atarudi Stamford Bridge na kuwa meneja wa Chelsea kabla ya kuanza kwa msimu mpya. (Daily Record)
Msimu wa kwanza wa Hazard the Blues ulikuwaje?Lakini ameshindwa kuthibitisha hilo toka ajiunge na blues. Labda Mimi ndio nilitarajia kikubwa zaidi ya anachokifanya sahivi ndio maana namchukulia kawaida
Home ground inasaidiaje mwenyeji asifungwe?Nyie mashikoro mmewaona soton
Mnabahati mlikuwa home
Conte je?Tetesi
Carlo Ancelotti atarudi Stamford Bridge na kuwa meneja wa Chelsea kabla ya kuanza kwa msimu mpya. (Daily Record)