Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,303
May b out
Conye je?
Conye je?
Haujui advantages za home ground?Home ground inasaidiaje mwenyeji asifungwe?
Nakuunga mkono. Ancelotti amekwisha yuleKatika vitu ambavyo siungi mkono ni kurudi kwa ancelote
Conte hatakiwi kuondoka hivi sasa tunacheza mpira wa kuonekana tofauti na zamani
Chelsea wamzuie conte kwenda madrid
Ndiyo maana nimeuliza!Haujui advantages za home ground?
huyo ni msimamizi wa mazoezi sio kocha wa mpira![]()
Mourinho Hafai Kabisa.
Na kweli kabisa hujakoseahuyo ni msimamizi wa mazoezi sio kocha wa mpira
Na timu zake always zinaundwa na wazee lakini wazee wanaoweza shughuli,unaikumbuka Chelsea yake ya 2009/2010 ambayo ilibeba EPL,FA pamoja na ngao ya jamii katika msimu wake wa kwanza.Tutaanza kucheza mpira wa kizee kama akija huyo jamaa
Truth has to be said no matter what.The greatest manager in the history of your club and that's how you treat him.
shameless club
You should also agree, this is the man that make your club relevantTruth has to be said no matter what.
Unawajua magreatest wewe.?The greatest manager in the history of your club and that's how you treat him.
shameless club
Kutokana na mpira wa sasa au siku hizi Ancelotti hatufai. Mpira umebadilika sn. Ndio mana ata kina Wenger, Mourinho wanapata sn tabuNa timu zake always zinaundwa na wazee lakini wazee wanaoweza shughuli,unaikumbuka Chelsea yake ya 2009/2010 ambayo ilibeba EPL,FA pamoja na ngao ya jamii katika msimu wake wa kwanza.
Cech/Hilario,Ivanovic/Bosingwa,Carvalho/Alex,
Terry,Cole/Zhirkov,Essien/Mikel,Ballack,
Lampard,Anelka/Joe Cole,Drogba,Malouda/Kalou.
Angalizo:Sina maana Conte afukuzwe nimejaribu kuonyesha tu kwamba Ancelotti ni moja ya makocha bora kwa upande wangu.
Majority say so,but i say Roman Abramovich did.You should also agree, this is the man that make your club relevant
Unawajua weweUnawajua magreatest wewe.?
Hapana,Ancelotti ni moja kati ya makocha ambao bado wana nafasi katika mpira wa sasa kutokana na his style of play kama umemfatilia vizuri kwanzia AC Milan,Chelsea,Real Madrid na Bayern München na ukalinganisha na mpira wa sasa nadhani utapata majibu.Kutokana na mpira wa sasa au siku hizi Ancelotti hatufai. Mpira umebadilika sn. Ndio mana ata kina Wenger, Mourinho wanapata sn tabu