Chelsea FC (The Blues) | Special Thread








Take that ... ....​




Oh ohhhh lala ..... ...... ​




Gomez in trouble ..... ...​





Gomez delivers the sucker punch ...... .... ​





Lamps anashangaaa ...... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​



Daraja Lililojengwa kwa makuti haliwezi kudumu ​

Ngojeni tuwabangue Manure kesho muone moto ​

watakaowawashia kwenye Daraja bovu ... ..​

lililojengwa kwenye makuti ​

khe khe khe kheeeeeeeeee​


BTW hivi mmeshika nafasi ya nne hivi chacha? Au jamaa hawakuangalia Table vizuri?
 


Aaah, huyo mpopo kimeo hana deal. Naona club imeamua kufanya cuts kama serikali ya bwana Cameron, anyway, it's more of financial move than technical. We want to break-even before UEFA rules comes in, lakini huyu mpopo sijui amefikaje hapo, hana mchango kwa Carlo....Arnesen mimi nimefurahi kwamba anaondoka, alikuwa analipwa mshahara mkubwa sana kwa kazi ambayo kitaalam amefail.
 
Ebana ukiiongelea Chelsea unaniumiza weye! Wacha bana, minya tu mwana... Mbona mi sijaongea chochote juu ya Arsenal? Minya babake! .....

Khe khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Kheri ya nusu shari, kuliko shari kamili. Hizi mbeleko nyingine bwana!
 




Michael Emenalo - Assistant first team coach

Michael Emenalo moved up from his previous position of head opposition scout in November 2010.
He has been an important part of the first team management structure since his arrival in October 2007, and his promotion to assistant first team coach was recognition of his efforts.

He continues to oversee the first team scouting operation as he makes the transition to coaching. He splits the initial period between assisting Carlo Ancelotti and updating his coaching qualifications as he takes on a bigger and more influential role.

He arrived at Chelsea when former manager Avram Grant called upon a trusted ex-player from his Maccabi Tel Aviv days. The pair worked together between 1998 and 2000, the tail end of a playing career for the former Nigerian international, who made his debut in 1985.
A defender, he moved to the United States in 1986 where he graduated from Boston University three years later with a degree in international relations with political sciences, having also played college soccer.

His football career continued in Belgium and Germany before a short spell in England at Notts County in the mid 1990s, where he won the Anglo-Italian Cup at Wembley.
Michael then returned to the States where he played in the first ever MLS game for San Jose Clash.

After one season, it was back to Europe and a year in the Spanish second division with Llieda, managed by future Sevilla and Spurs coach Juande Ramos. Then came the move to Israel.
Michael won 14 caps for Nigeria in total and played in the 1994 World Cup in the USA, missing the first game through injury but then playing against Argentina and Greece before he was knocked out by a Roberto Baggio-inspired Italy.
After hanging up his boots, Michael spent time coaching in America.


source; Michael Emenalo - Assistant first team coach | Chelsea Manager | Official Site | Chelsea FC | Chelsea
</SPAN>

Kheri ya nusu shari, kuliko shari kamili. Hizi mbeleko nyingine bwana!

...zimefanyaje tena ewe Shedafa?
 
​





''Ebana ukiiongelea Chelsea unaniumiza weye! Wacha bana, minya tu mwana... Mbona mi sijaongea chochote juu ya Arsenal? Minya babake! ..... ''


.... ..... Chelsea have taken six points from the last 21. Calamity .... ..phew!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha1 acha kurusha roho za watu na habari za ''udaku'' kutokea The Sun. Mkuu Carlo keshasema lazima Man UTD walambe kichapo next week. Stay tuned
 
Wacha1 acha kurusha roho za watu na habari za ''udaku'' kutokea The Sun. Mkuu Carlo keshasema lazima Man UTD walambe kichapo next week. Stay tuned






Uzushi Eh! Khe khe kheeeeeeeeeeeeee
​
 
Breaking news: Mechi yetu na Manure kesho imeahirishwa kutokana na heavy snow!
 
Breaking news: Mechi yetu na Manure kesho imeahirishwa kutokana na heavy snow!

...mbu ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi!

 
Chelsea mmeamua kucancel match hivi hivi? Naangalia picha za cctv karibia na mitaa ya stamford bridge (finboro rd) mambo sio mbaya na barabara zinapitika vizuri tu, train kutoka manchester - london bado zinafanya kazi, station iliyofungwa ni waterloo tu. Mliogopa kichapo sio?
 
...mbu ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi!

Teh teh teh.....
Jamaa wamechomoa kuwa chachandu ya krismasi....



Kwa sababu za kiusalama tumeshauriwa na Metropolitan Police pamoja na local authority kwamba mechi isingewezekana, we're powerless to go against the decision made by the police and authority. Angalia hapo chini sheria za Premier League zinasemaje kuhusu match postponement:

 

Snow-go zone: Stamford Bridge appears clear of danger in this picture taken at 2pm om Sunday - two hours before the game was due to start.

By the way kwa mujibu wa msemaji wa polisi decision ilikuwa ni ya timu
There were concerns over public safety. Clubs liaise with the police in the run-up to a game and are in regular contact. The final decision is made by the club.'
 

Attachments

  • article-0-0C89D125000005DC-684_634x422.jpg
    85.8 KB · Views: 30

Umesoma lakini hizo sheria hapo juu?!! Timu haiwezi kufanya final decision!
 
Mafioso at it again .... ...



Mwenye akili atafahamu ni Chelsick tu waliowahonga ma-polisi kwenye Council yao pamoja na vibaraka wa Council ili wapate muda wa kujiandaa kwa mechi moja kubwa badala ya mbili hasa baada ya kuona mechi ya Emirates haitafanyika khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
I am glad to hear this good news!

 
Nimeona sheria ndio, lakini msemaji wa polisi anasea final decision ilikuwa ni ya Chelsea.


Mkuu Eqlypz,
Weka basi quotation za huyo polisi na useme umeipata wapi (source), otherwwise tutasema umetunga story....lol
 
Mkuu Eqlypz,
Weka basi quotation za huyo polisi na useme umeipata wapi (source), otherwwise tutasema umetunga story....lol

A police spokesman said: Read more: Chelsea v Manchester United postponed despite lack of snow | Mail Online​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…