Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ni kauli ya kishujaa
Tulifungwa kwa kustahili kabisa
Well done westham kwa kupaki basi
Cyo kupaki bus bhna timu hakuna ya kupambana anapanga anavyotaka bora afukuzwe tu nimemchukia from naw na siku zote unamuweka bench mcezaji mzuri unatuwekea bakayoko hana ufundi
 
634910fadbe6a8c70bd25dba4e146868.jpg

Marko Arnautović anawatakia jioni njema na yenye furaha tele

(Mgonjwa kamtibu mganga)
 
Huyu ni hopeless KBS, unamwacha drink water unamuweka bakayoko, ni mzito, hafanyi mashambulizi yoyote ya maana. Mechi ya Leo, bora angemwanzisha William badala ya morata, hazard ameshindwa kucheza KBS, ubingwa tena basi
 
Bakayoko mwingine au yule yule aliekuwa anasifiwa mwanzo wa ligi?
 
Nilichogundua mashabiki wengi wa Chelsea siyo wavumilivu. Yan makosa kidogo mtu anatoa lawama utafikili ndio tumeshuka daraja. Nakubali kuna makosa kama kocha na wachezaji wanafanya lakini tusikie hatua ya kuponda kiasi kwamba tunaonekana au tunakua kama wazamiaji wa timu nyingine kuja kushusha majungu humu kama haka kakijana Jux juma.

Mpira una matokeo matatu, sina haja ya kuyaelezea kila mtu anaelewa. Cha msingi tuchukulie kama changamoto tu na ndio mpira wenyewe ni kazi sana kwenda moja bila hata kupoteza na wakati wenyewe mliona makosa tuliyo fanya toka kipindi cha usajili msitegemee tutakua na matokeo kama ya Man City.

Tuwe na akiba ya maneno hakuna mtu asofanya makosa. Kuna kipindi game linakubali kuna kipindi linakataa.

Hollaa Blues.
 
Msimu huu hatuna chetu ,si FA au Capital One Wala UEFA
Kocha ni Kama analazimisha formation iliyogoma, kuwaweka wale watu pale mbele hatuwezi shinda hata tukicheza na yanga
 
Mi nawaambia leo tumefungwa kihalali kabisa no lawama kabisa kwa yeyote
 
Msimu huu hatuna chetu ,si FA au Capital One Wala UEFA
Kocha ni Kama analazimisha formation iliyogoma, kuwaweka wale watu pale mbele hatuwezi shinda hata tukicheza na yanga
We utakuwa sio shabiki wa chelsea na mpira hujui
Leo kama uliangalia match badala ya kulaumu ungeipongeza westham tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom