Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Leo Mungu anawalinda tu
Yani hapa ni kumtoa Morata na kumweka Willian....
Nadhani ni frustration zake tu.Mimi NilimQuote Huyu ↓↓
Hahahaaaa... Mkuu umepanic sana. RelaxMie sielewi huyu coacha kasomea shule gan asie jielewa huyo bakayoko ana mkaza mwanae???
Morata nni tena mpuuuiz tu hakuna mchezaji muleMorata!
Bakayoko ndio weak link ktk timu nzima, hana uhakika na anchofanya , hili ni tatizo hasaHahahaaaa... Mkuu umepanic sana. Relax
Ndicho nilichomaanisha, sikutaka kuandika sana!Morata nni tena mpuuuiz tu hakuna mchezaji mule
Wala tatizo sio Costa, tatizo ni kutojua matumizi ya mchezaji na mechi ganiHizi mechi ilikuwa za Mwanaume anaitwa COSTA outstanding striker mtamkumbuka sana
Alibahatisha kunyakua ubingwa? Kuna muda mpira unakataa sio kocha wachezaji wenu wamecheza hovyo hamna cha kochaKocha ni tatizo kubwa