Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

And here he is, the real bakanyoko sio yule mlieuziwa
a02f8bbc3d113ebf6fd801d78d949a63.jpg

Ila muhuni wangu bakayoko alikuja darajani kwa mbwembwe nyingi mno, siku ya kwanza kafika kapiga picha na kila mchezaji wa Chelsea... afu eti siku ya kutambulishwa kaja na familia yake nzima MAMAYOKO,BABAYOKO NA YEYE BAKAYOKO...Akapiga picha nao pale blue carpet. But i still trust in his talent, atarudi tu kama zamani.
 
Pogba alipitia hiyo hali msimu uliopita
 
Hivi na wewe unawaza kabisa utaleta changamoto ligi kuu. Yan wewe na Arsenal hamna tofauti kabisa. Hebu waache wanaume wapambane nyie watoto tupisheni bhana.

Mimi Siji Na Changamoto (Challenge) Bali Nipo Kwa Kupambana (Fighting)..
 
Mimi nafikiri kocha WETU ni tatizo MNO, anashindwa kuwa na 1st eleven ya kudumu. Chelsea ni big timu UK, angalia record YETU, ni timu ni competitive team kwa UK, hatuwezi kucheza kijinga vile Leo, tunafungwa 1st half mpaka mwisho, ni aibu MNO. Angalia record/ misimu 1997/1998, 1998/1999/, 1999/2000/,/2000/2001, 2001/2002, 2002/2003, 2003/2004, nk, Chelsea ni timu ya ushindani mkubwa sana UK
 
Ndugu zanguni kwema hapa?Poleni sana na ndiyo soka,mwakani nadhani mtachez Yuropa
Kaulinya kipa wenu leo kama anaondoka mwakani June sio kauli nzuri hata kidogo

Vipi na nyie bado hamyaogopi Majogoo?
 
Msimu huu sio wetu, dalili zilionekana tangu Conte akosane na Costa.
Kocha aweke nguvu kwenye makombe mengine na top 4. Champion inaweza kifuta aibu ya kushindwa kutetea kombe la epl.
Leo chelsea ni kama walizarau mwiba ukawachoma.
Sioni kama timu ilipangwa vibaya just morale ya kushinda haikuwepo. Tusisahai pia kuwa hawa westham walitukamia kwa physical game na ndivyo walivyocheza.
 
Nilichogundua mashabiki wengi wa Chelsea siyo wavumilivu. Yan makosa kidogo mtu anatoa lawama utafikili ndio tumeshuka daraja. Nakubali kuna makosa kama kocha na wachezaji wanafanya lakini tusikie hatua ya kuponda kiasi kwamba tunaonekana au tunakua kama wazamiaji wa timu nyingine kuja kushusha majungu humu kama haka kakijana Jux juma.

Mpira una matokeo matatu, sina haja ya kuyaelezea kila mtu anaelewa. Cha msingi tuchukulie kama changamoto tu na ndio mpira wenyewe ni kazi sana kwenda moja bila hata kupoteza na wakati wenyewe mliona makosa tuliyo fanya toka kipindi cha usajili msitegemee tutakua na matokeo kama ya Man City.

Tuwe na akiba ya maneno hakuna mtu asofanya makosa. Kuna kipindi game linakubali kuna kipindi linakataa.

Hollaa Blues.

Muda niliopita hapa hilo nimeligundua wengi hawana uvumilivu kila mmoja anamlaumu kocha haya bakayoko katoka dakika ya 45 kama wachezahi wenu wangekuwa na mbinu za kutaka ushindi goli mbili zinafungwa ndani ya dakika hata 15 tu cante na hazard jana hawakulala ila wengine hopeless had sub alizofanya kocha mlikuwa mnapoteza mipira mno jana ilikuwa lazima moyes ashinde tu Mungu alikuwa uapande wake.
 
Tatizo hatuna mshambuliaji anayejua kulazimisha yaani tungepata mtu staili ya aguero au teves wale west ham wangefungwa goli nyingi tu huyu morata ni mbovu sana hasa kwenye kufunga kwa miguu ilifika wakati nilitamani kocha amwingize bashuayi pengine angetuokoa kwa nafasi zilizopatikana kuliko morata
 
Mimi nafikiri kocha WETU ni tatizo MNO, anashindwa kuwa na 1st eleven ya kudumu. Chelsea ni big timu UK, angalia record YETU, ni timu ni competitive team kwa UK, hatuwezi kucheza kijinga vile Leo, tunafungwa 1st half mpaka mwisho, ni aibu MNO. Angalia record/ misimu 1997/1998, 1998/1999/, 1999/2000/,/2000/2001, 2001/2002, 2002/2003, 2003/2004, nk, Chelsea ni timu ya ushindani mkubwa sana UK

Endelea Kuweweseka Na Historia!!!
Kwani Na Sasahivi Si Ya Ushindani? Au umesahau Kuwa Chelsea Ni Bingwa Mtetezi?
 
Tulipompiga 4G mlichonga sana kuwa ilikuwa ni timu ndogo, naona leo mmekuwa timu ndogo zaidi
Mpira hauko hivyo ndg kuna team ilimpa man u 2_1 hiyo team imepigwa na arsenal 5_0 ( arsenal vs man u ) matoke unayajua in hayo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom