Kwa kweli mie nikimuona tu ameanza huwa nakosa raha kabisa kwanza hajui mpira nakumbuka kam alivyokuja cuadrado kwa mbwembwe ila hakuna mchezaji
UEFA hawana habari za goal diferrence. Wao wanaangalia matokeo ya mechi husika nani kashinda na nani katoa drawHivi ni kigezo kipi kilichoiweka Chelsea ya pili wakati wao wana GD ya 8 na Roma ni chin ya hapo
![]()
Pengine kuondoka kwao ndio kumewafanya kuwa strong zaidi ya walivyokuwaIla Chelsea tulijaliwa kuwa na attacking midfielders aisee...
Cuadrado, Salah, Oscar, De Bruyne, Mata
Katika ulimwengu huu wa mpira wa kisasa hakuna team inaogopa man wife sorry man uDAAAAH YANI ATLETICO ANA DRAW KWETU
KWANN IV ONA SASA TUMEKUWA WASHINDI WAPILI VIPI TUKIKUTANA NAKINA PSG AU MAN U SILITAKUWA BALAA
yani we nae unaiogopa man u kwel ulimwengu huu wa sasaDAAAAH YANI ATLETICO ANA DRAW KWETU
KWANN IV ONA SASA TUMEKUWA WASHINDI WAPILI VIPI TUKIKUTANA NAKINA PSG AU MAN U SILITAKUWA BALAA
Hakuna team ya kuifunga Chelsea kwa sasa....DAAAAH YANI ATLETICO ANA DRAW KWETU
KWANN IV ONA SASA TUMEKUWA WASHINDI WAPILI VIPI TUKIKUTANA NAKINA PSG AU MAN U SILITAKUWA BALAA
MKUU KWANN NISI IOGOPE UONI ATA NAFASI YAKE PAMOJA NA MATOKEO YAKEyani we nae unaiogopa man u kwel ulimwengu huu wa sasa
Ni kweli kabisa Chief Morata Mpira anajua sana na ni foward mjanja sana.Ila ni mwepesi sana kwenye stamina kulinganisha na alivyokua Costa.![]()
Angekuwa na stamina hata nusu ya aliyonayo Hazard..he is a very bright player
![]()
Bado naamini hatukufanya makosa kumsajili. Ila anatakiwa kuadapt mapema kwa mikiki mikiki.
Bakayoko ni bonge la mchezaji mkuu.Tatizo umeconcentrate kwenye makosa anayofanya.Kwa kweli mie nikimuona tu ameanza huwa nakosa raha kabisa kwanza hajui mpira nakumbuka kam alivyokuja cuadrado kwa mbwembwe ila hakuna mchezaji
Nashangaa sana kwa nini mashabiki huwa mnaingilia kazi ya kocha!Bakayoko asicheze big match acheze FA cup na carabao cup kwa nini asianze na Dany mboma match ya newcastel walicheza vzr sana