eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Match na man u mbona hamkusema hivikaribu sana kwenye jukwaa kocha wetu.
ila tunakuomba huyu kijana bakayoko mpumzishe au awe anacheza mechi zisizo na ushindani au pressure mfano carabao cup+fa cup+weak team.
tengeneza partnership ya kante+drinkwater.
drinkwater mtu wa kazi hastahili kukaa benchi mbele ya waste bakayoko.
Kuna siku mchezaji anakuwa hayuko katika ubora wake hata awe star namna gani