Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tetesi
Chelsea wamepewa matumaini baada ya taarifa kuwa mlinzi wa Brazil Alex Sandro, 26, anataka kuhama Juventus. (Telegraph)
 
Kuna aja ya kuwatumia Pedro na Willian zaidi kwa kweli. Weka Bakayoko benchi tu. Haiingii akilini kumuweka Bakayoko uwanjani halafu Pedro na Willian wanakaa benchi aisee kisa formation. Kwanza naamini wanavyojituma wala hatutaona pengo lake. They are good defensively na offensively.
Hapa sikubaliani na mpango wa bakayoko kukaa benchi eti kisa pedro na wiliani wacheze
Wilian inajulikana anaingia badala ya hazard
 
Antonio Conte amedai kuwa Chelsea walistahili kushinda baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Atletico Madrid Ligi ya Mabingwa Jumanne usiku
Saul Niguez alikipatia kikosi cha Diego Simeone goli la kuongoza dakika ya 56 katika uwanja wa Stamford Bridge kutokea kwenye kona, lakini Blues walisawazisha baada ya Stefan Savic kujifunga.
Matokeo hayo ya London yalifuatiwa na ushindi wa Roma wa 1-0 dhidi ya Qarabag FK, ambao walihakikisha Chelsea wanamaliza nafasi ya pili Kundi C.
"Nadhani usiku wa leo tulikuwa na mchezo mzuri na kiwango bora," Conte aliwaambia waandishi. "Nadhani tulistahili kushinda mechikwa sababu tulikuwa na nafasi nyingi sana za kufunga na tulipaswa kuzitumia.
"Badala yake, mlinda mlango wao alikuwa mchezaji bora na amekuwa akifanya kazi kwa usahihi.
"Lakini wakati huo huo, tuliruhusu goli na tunahitaji kujiimarisha kwa sababu baada ya kona kulikuwa na makosa mengi sana. Unapokuwa ukicheza aina hii ya mchezo safu ya ulinzi ni muhimu sana."
Droo kwa ajili ya raundi inayofuata Ligi ya Mabingwa itafanyika Jumatatu, Disemba 11, na mechi za miguu miwili (nyumbani na ugenini) zitachezwa Februari na Machi.
 
Ni kweli kabisa Chief Morata Mpira anajua sana na ni foward mjanja sana.Ila ni mwepesi sana kwenye stamina kulinganisha na alivyokua Costa.
Nafasi za kutumia ubabe ufunge Morata hawezi sana..though bado ni mdogo Ana nafasi ya kubadilika.
Mimi ni Arsenal fan.
pachanya nimekuelewa
 
Hapa sikubaliani na mpango wa bakayoko kukaa benchi eti kisa pedro na wiliani wacheze
Wilian inajulikana anaingia badala ya hazard
Jana alipotoka Bakayoko aliingia nani??? Sio Pedro?

Mchezo ulikuwaje baada ya hapo?

Sisemi kuwa Bakayoko ni mbaya sana ila salau aanzie benchi. Hainiingii akilini Willian na Pedro wanaanzia benchi kisa Bakayoko aisee...sorry.
 
We need to bring back on January Tammy Abraham. He is doing good at Swansea. And there is no need to buy new striker while Tammy is there.
 
We need to bring back on January Tammy Abraham. He is doing good at Swansea. And there is no need to buy new striker while Tammy is there.
Nguvu sijuu kama anayo kwanza ya kuhimili mchezo mmoja mmoja kisha kuhili mechi za msimu mzima.

Tunahitaji mtu wa mabavu kucheza pale mbele.

La sivyo tuzidishe nguvu/ubora kwenye midfield yetu kisha tuwatumie Hazard/pedro Hazard/Willian kama forward bila traditional striker.
 
Tammy nguvu anazo sn tena kwa Swansea ndio tegemeo lao.

Ukiangalia namna Faby, Hazard na viungo wengine wanavyowatengenezea nafasi Morata na Batshuay km Tammy ndio angekua hapo basi magoli mengi angetupia
 
Jana alipotoka Bakayoko aliingia nani??? Sio Pedro?

Mchezo ulikuwaje baada ya hapo?

Sisemi kuwa Bakayoko ni mbaya sana ila salau aanzie benchi. Hainiingii akilini Willian na Pedro wanaanzia benchi kisa Bakayoko aisee...sorry.
Sawa mentor ila kuna siku mchezaji anakuwa hayuko vizuri hata hao wilian na pedro wakianza unaweza kujikuta unawalaumu tu siku hazifanani mkuu
 
Tammy nguvu anazo sn tena kwa Swansea ndio tegemeo lao.

Ukiangalia namna Faby, Hazard na viungo wengine wanavyowatengenezea nafasi Hazard na Batshuay km Tammy ndio angekua hapo basi magoli mengi angetupia
karibu sana kwenye jukwaa kocha wetu.
ila tunakuomba huyu kijana bakayoko mpumzishe au awe anacheza mechi zisizo na ushindani au pressure mfano carabao cup+fa cup+weak team.
tengeneza partnership ya kante+drinkwater.
drinkwater mtu wa kazi hastahili kukaa benchi mbele ya waste bakayoko.
 
Bakayoko sijawahi mkubali toka akiwa monaco, nilimuona semi final against juventus alicheza hovyo hadi kocha akamtoa second half mwanzoni kabisa. bodi ya chelsea ilizembea sana kwa tolliso huyu tulikuwa tunamchukua na mwenyewe alikuwa willing kuja.
matokeo yake tumekuja angukia kwa waste bakayoko.
starting11 ikiwa na bakayoko+cahili+alonso hapo chelsea tunacheza kama timu ndogo yaani kama crystal palace.
 
Tolliso kawasha moto bayern na kaingia kwenye kikosi direct tena ambacho kimejaa viungo wa dunia akina atulo vidal, ila sisi tunamtegemea waste bakayoko.
antonio conte cahili katokota ila bado unamkumbatia mbona hufanyi hivyo kwa willian????? willian kavurunda mechi mbili matokeo yake hadi leo hana namba 1st11 kwanini usifanye hivo kwa cahili?????? au kwa sababu muingereza?????
pedro kadrop kiwango ulikuwa mwepesi kumpiga benchi why cahili???????
nashukuru kwa alonso umeona kadrop kiwango hadi jana ukaamua kumpumzisha.
tunataka hivo hivo na kwa cahili na bakayoko.
willian karudi kwenye form mrudishe 1st11 the same to pedro.
(fabregas+cahili+bakayoko+alonso) hawa wa drop na ingiza haya majembe(pedro+willian+drinkwater+musonda).
tukipangiwa psg/barca cahili ataiweza kasi ya vijana akina mbabe/neymar/draxler????
we need to enjoy football.
 
Anatakiwa striker wa maana kama mauro icard, huyu morata kashanichosha na kuanguka anguka kama ana kifafa.
mtu unayefanya mazoezi daily unakosaje nguvu as morata is?????
kuna facilities nzuri za mazoezi e.g international gym bado mtu unakuwa mlaini kama mpemba?????
morata ni bonge la striker ila tatizo lake moja tu kujiangusha na kujilegeza, sijui hali vizuri????? au alikuwa anapiga sana nyeto?????
ronaldinho gaucho enzi zake akiwa na mpira anapigwa mitama na mabeki karbia wa3 matokeo yake wao ndo wanaanguka yeye anatembea na mpira, ronaldo delima huyu GOAT hadi aanguke wewe beki kazi umefanya, sergio aguero humtoi kizembe kwenye reli.
hivi morata anashindwaje kuangalia clip za hao ma GOAT??????
every options are on the table anasubili nini kutumia????.
mauro icard/richarlison waje aangalie kuwa striker anatakiwa awaje.
 
willy cabarero kwanini asiwe anapewa na yeye baadhi ya mechi hata za league au kama ya jana ili nae asafishe nyota?????..
maana cutwaa epl+uefa yeye hadi baadhi ya game anakosa morali.
fanya hata rotation ya makipa ikiwezekana.
Kennedy mrudishe left wingback dogo anakaba na anapandisha team+ufundi wa kibrazili.
alonso kachoka mechi karbia zote msimu huu kafloppy ndo mda wa kumpanga kennedy sasa.
fanya kama pochetino anawaamini vijana na wanambeba
sio kuwakumbatia wazee akina cahili washakuwa magari ya shamba.
conte makosa unayaona wakifanya akina willian+pedro+luiz+kennedy???...?
wakifanya akina cahili+bakayoko+fabregas+alonso huyaoni????????
be fair. mimi willian+pedro+drinkwater kukaa benchi mbele ya bakayoko+fabregas hainingii akilini hata siku moja.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Jana alipotoka Bakayoko aliingia nani??? Sio Pedro?

Mchezo ulikuwaje baada ya hapo?

Sisemi kuwa Bakayoko ni mbaya sana ila salau aanzie benchi. Hainiingii akilini Willian na Pedro wanaanzia benchi kisa Bakayoko aisee...sorry.
mkuu una mawazo kama yangu, nilikuwa sijasoma hii post yako kumbe tumewaza the same.
bakayoko anaanzaje mbele ya willian+pedro????????? fabregas kashakuwa mhenga hakabi so anaanzaje mbele ya drinkwater???? fab/bakayoko waanze mbele ya willian+pedro+drinkwater?????
kama sio utani ni nini huu.
 
karibu sana kwenye jukwaa kocha wetu.
ila tunakuomba huyu kijana bakayoko mpumzishe au awe anacheza mechi zisizo na ushindani au pressure mfano carabao cup+fa cup+weak team.
tengeneza partnership ya kante+drinkwater.
drinkwater mtu wa kazi hastahili kukaa benchi mbele ya waste bakayoko.
Kuna shida kidogo kwa Bakayoko, lkn ukiangalia umri wake na kiwango alichonacho basi unaona yuko na future nzuri sn.

Tatizo la Bakayoko ni kucheza huku akifiyafikiria sn maagizo ya kocha. Hakuzoea kucheza mostly tactics football, sasa amekutana na Conte ainampa shida sasa kua most of the time kukumbuka kocha kamuagiza nini. Ndio mana unaweza muona km mzito hivi au yuko slaw.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom