Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

UEFA wao wanaangalia matokeo yenu (ya timu zinazolingana point) pindi walipokutana wao kwa wao.
That is the stupid creteria
Hivi ni kigezo kipi kilichoiweka Chelsea ya pili wakati wao wana GD ya 8 na Roma ni chin ya hapo
50f5e106e22a9df808bb54025770aafe.jpg
 
Swala la kuongoza au kutokuongoza kundi haina msaada wowote cha muhimu ni kujituma uwanjani kwa yeyote utakaekutana nae
 
Michezo nane ya kwanza ya hatua ya mwisho ya makundi ya klabu bingwa barani ulaya imechezwa usiku huu na jumla ya timu kumi na mbili tayari zimefuzu kwa hatua ya kumi na sita bora.
Katika kundi A Manchester United, wameibuka vinara wa kundi hilo kwa kuwa na alama 15,baada ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya CSKA Moscow, nao Fc Basel wamesonga mbele kwa kwa kuwa na alama 12 baada ya ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya Benfica.
Katika kundi B Bayern Munich wamewachapa Paris Saint Germain, kwa kichapo cha goli 3-1 na Celtic wakafungwa 1-0 na Anderlecht hiyo Psg na Bayern ndio wanafuzu kwa hatua inayofuata huku Celtic, wakishiriki michuano ya Europa ligi.

Atletico Madridi wameshindwa kusonga mbele baada ya kukubali sare ya goli 1-1 na Chelsea ugenini hivyo wanakwenda kushiriki Europa ligi, As Roma, wakawatungua Qarabag Fk, kwa bao 1-0, hivyo katika kundi C ni As Roma na Chelsea ndio wamesonga mbele.

Barcelona, wamemaliza hatua ya makundi bila ya kufungwa baada ushindi wa 2 - 0 Sporting CP, na kumaliza vinara kwa jumla ya alama 14, wakifuatiwa na Juventus wenye alama 11 baada ya kuwachabanga Olympiacos kwa mabao 2-0
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Eden Hazard anaendelea na mkataba mpya pauni 300,000 kwa wiki huko Stamford Bridge kwa matumaini ya kuwavutia Real Madrid. (Times - subscription required)
 
Leo nimeelewa kwa nini jarida maarufu la michezo nchini Ufaransa (France Football) limewaweka Oblak na Courtouis kuwa bora kuliko De Gea.


Top goalkeepers
1. Manuel Neuer (Germany and Bayern Munich) 30pts

2. Gianluigi Buffon (Italy and Juventus) 13pts

3. Thibaut Courtois (Belgium and Chelsea) 9pts

4. Hugo Lloris (France and Tottenham); Jan Oblak (Slovenia and Atletico Madrid) 7pts

6. Keylor Navas (Costa Rica and Real Madrid) 5pts

7. David de Gea (Spain and Manchester United) 4pts

8. Marc-Andre Ter Stegen (Germany and Barcelona) 3pts

9. Samir Handanovic (Inter Milan) 2pts

Source: France Football magazine



Read more: David de Gea named only the world's SEVENTH best keeper | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Morata ni mchezejai mzuri lakini conte inabidi azungumze nae aongeze umakini katika finishing timu yetu sasa ina posess sana lakini tunapoteza nafasi sana
 
Kuna aja ya kuwatumia Pedro na Willian zaidi kwa kweli. Weka Bakayoko benchi tu. Haiingii akilini kumuweka Bakayoko uwanjani halafu Pedro na Willian wanakaa benchi aisee kisa formation. Kwanza naamini wanavyojituma wala hatutaona pengo lake. They are good defensively na offensively.
 
Morata ni mchezejai mzuri lakini conte inabidi azungumze nae aongeze umakini katika finishing timu yetu sasa ina posess sana lakini tunapoteza nafasi sana

Akipigwa benchi mara kadhaa nadhani atajifunza. Kama hizi mechi za December za ligi...sioni kinachotuzuia kutumia 3-5-2 ila pale mbele iwe Pedro/Hazard ama Willian/Hazard.

Au aachane na Bakayoko Wacheze watatu: Pedro-Willian-Hazard.

Au kama lazima atumie 3-5-2 basi: Kante-Drinkwater-Fabregas.
 
Kuna aja ya kuwatumia Pedro na Willian zaidi kwa kweli. Weka Bakayoko benchi tu. Haiingii akilini kumuweka Bakayoko uwanjani halafu Pedro na Willian wanakaa benchi aisee kisa formation. Kwanza naamini wanavyojituma wala hatutaona pengo lake. They are good defensively na offensively.
Yaaaan yule mchezaji bado ubishoooo sana ila hakuna kitu mule upepo tu
 
Kwa kweli mie nikimuona tu ameanza huwa nakosa raha kabisa kwanza hajui mpira nakumbuka kam alivyokuja cuadrado kwa mbwembwe ila hakuna mchezaji
 
Kwa kweli mie nikimuona tu ameanza huwa nakosa raha kabisa kwanza hajui mpira nakumbuka kam alivyokuja cuadrado kwa mbwembwe ila hakuna mchezaji


Utakuwa unamuonea Cuadrado ukimlinganisha na Bakayoko.

Cuadrado alikuwa bado kinda kabisa...lakini ameenda Juventus amekuwa mchezaji mzuri sana (ingawa bado mchoyo). Kwenye timu yake ya taifa amecheza vyema sana. Akipata kocha mzuri ana nafasi ya kuwa mchezaji mzuri. Kwa Chelsea ilikuwa ngumu kupenya maana Kuna Hazard/Pedro/Willian..sasa si angejikuta anasubiria FA ndo apangwe.

Bakayoko nadhani ubishoo unamzidi..ndo yale ya kina Lingard na Pogba muda wote ku-rehearse jinsi ya ku-dance badala ya kucheza mpira.
 
47057D4000000578-5148927-image-a-52_1512509227098.jpg


Chelsea went level against Atletico Madrid when Eden Hazard's shot was turned past Jan Oblak by team-mate Stefan Savic


47057D8900000578-5148927-image-a-54_1512509241038.jpg


The central defender tried to clear Hazard's left-footed effort but could only watch as the ball went into the Atletico goal

47057DFC00000578-5148927-image-a-71_1512509460665.jpg


Hazard was the quickest to turn away and celebrate after Savic's mishap with 15 minutes left to play at Stamford Bridge
 
470551C400000578-5148927-image-m-43_1512508125586.jpg


Chelsea goalkeeper Thibaut Courtois reacts after Tiemoue Bakayoko allowed Niguez to move into space before scoring

Ila nisimponde sana...kuna mechi nadhani ni ya Man UTD alicheza vyema sana. Akiacha ubishoo bado ana nafasi kabisa ya kuwa bora zaidi ya Matic hata.

Ana advantage nyingi sana naamini ndiyo maana Conte anamtumia; urefu, nguvu na uvumilivu. Concentration inahitajika na uwepo wake pia kama akiwa serious ni advantage kwenye kikosi chetu. Maana mechi moja tunaweza kucheza na Kante-Drinkwater AU Kante-Bakayoko.

Bado tunamhitaji ila naamini atajifunza na kuwa bora kutokana na makosa yake. Vinginevyo ni afadhali tungebaki na Loftus Cheek atusaidie kuweka hesabu ya homegrown players baada ya Cahill kuanza kuwekwa benchi msimu ujao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom