Kabahatisha tu mbona na chelsea hakuonyesha kiwangoKuna na lile alilotaka kujifunga Lukaku jinsi jamaa alivojifyatua sikuamini macho yangu.Jamaa ni best of the best
Man u ya mourinho ni sawa na mgonjwa wa moyo tu leo yuko vizuri kesho hali mbayaWAKUU NAONA MANURE WAKO VIZURI SAIZ IV CC TUNAWEZA KWELI MTOA PALE NAFASI YAPILI WAKUU
Kile cha Morata hakikuwa kichwa ule ni mbichwa uswahilini tunaita NDONGA hakuna kipa atakae safiri kuufata ule mpira na ukijaribu basi jiandae kuvunjika nyonga.Lakini kile kichwa cha Morata alisimama kama anasubiri kupigwa picha ya Mnato..
ukishinda ndo unajitokeza sio De Gea kakufichia maovu yako jana.WAKUU NAONA MANURE WAKO VIZURI SAIZ IV CC TUNAWEZA KWELI MTOA PALE NAFASI YAPILI WAKUU
Kivp mkuu mm wa blue damu sasa izo za degea zinakuja vpukishinda ndo unajitokeza sio De Gea kakufichia maovu yako jana.
We hujui tunatembeleana kwenye majukwaaKivp mkuu mm wa blue damu sasa izo za degea zinakuja vp
Galaxy s90
MIND THE GAP...Lakini kile kichwa cha Morata alisimama kama anasubiri kupigwa picha ya Mnato..
Wewe unawaza nafasi ya pili...! Sisi tunawaza ubingwa hio utagombea na Arsenal au SpursWAKUU NAONA MANURE WAKO VIZURI SAIZ IV CC TUNAWEZA KWELI MTOA PALE NAFASI YAPILI WAKUU
kweli kaka sisi tunawaza kumshusha man cityWewe unawaza nafasi ya pili...! Sisi tunawaza ubingwa hio utagombea na Arsenal au Spurs
Mh! Hapa sikuungi mkono. Man utd ya sasa ni De Gea.Kabahatisha tu mbona na chelsea hakuonyesha kiwango