popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,622
Nitajieni mchezaji ambae amewahi cheza mechi hata moja bila kufanya kosa lolote,mpira hauchezwi na malaika,hamjui na hamjacheza mpira ndo maana mnaishia kuspot makosa ya MTU mnaemchukia,Bakayoko..kwakweli naona ameenza kuvuruga kwa kasi sana sijui nini kimempata!