Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

46B0E09100000578-5117029-image-a-39_1511637369864.jpg

Pamoja na kucheza dakika tatu..he is the chelsea player of the game

46B0E7A700000578-5117029-image-a-51_1511637793655.jpg

Yani huyu kipa ni pazia sijui kwa nini hatukumjaribu zaidi...
Ndo ujue ulizidiwa.
 
lawama zangu kwa cahili zimerudi lile goli la salah ni uzito wake wa kuokoa ndio umesababisha achilia mbali bakayoko

morata na hazadi hawajanifurahisha kabisa leo
wilian nampa heshima zangu conte aanze kumpanga sasa
kante dany respect
ni hayo tu
 
mkuu hujanielewa nilichomaanisha,ninachosema ni kwa jinsi timu zilivyocheza sio kwa jinsi tulivyotegemea timu zitakavyokuwa mm mwenyewe nilitegemea Fabregas ataanza lakini haikuwa hivyo ndio maana nikasema kwa jinsi timu zilivyocheza leo.
Sawa. Ila kadri mpira unavyoendelea ndo unavyoona wapi kuna makosa.
Ilitakiwa afanye sub fasta hata kipindi cha kwanza. Hata Zappa Costa nae kacheza ovyo.
 
lawama zangu kwa cahili zimerudi lile goli la salah ni uzito wake wa kuokoa ndio umesababisha achilia mbali bakayoko

morata na hazadi hawajanifurahisha kabisa leo
wilian nampa heshima zangu conte aanze kumpanga sasa
kante dany respect
ni hayo tu
kwangu mm goli la salah lawama nyingi ni kwa bakayoko kuliko Cahill kwasababu Bakayoko ndo alikuwa katika position ya kuucheza mpira kabla ya Cahill
 
Haya majaribu anayofanya Conte ndio yataendelea kutukosesha matokeo kila siku
hayakuwa majaribu alisema wakati anahojiwa kwamba Fabregas kacheza almost kila mechi msimu huu hivyo kaamua kumpumzisha kidogo kwasababu mechi ni nyingi zaidi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka
 
Tafsiri kwa kigogo.

What is hard for your post to not be understood by the way?

Exactly my concern!

So, is it that your command of the English language is that atrociously abysmal or you just commented to seek superficial sentimentality?
If none, I will get on with my weekend sir...subhai!
 
Just get on with your weekend sir. Moreover, I commented as you seek for an excuse as if what you got was not what you deserved but to Liverpool it was.

Bitter truth is, that draw was the only 'win' you could get there. You should have praised your team.
 
lawama zangu kwa cahili zimerudi lile goli la salah ni uzito wake wa kuokoa ndio umesababisha achilia mbali bakayoko

morata na hazadi hawajanifurahisha kabisa leo
wilian nampa heshima zangu conte aanze kumpanga sasa
kante dany respect
ni hayo tu

Dah mkuu, Cahill kweli!???? Kweli kabisa???? Kwa midfield iliyopangwa leo hata kina Cahill hawakutakiwa kufanya kazi yoyote leo. Sidhani kama ni stahiki kumlaumu aisee. Mwishowe utamlaumu na Azpilicueta kwa kuwa mzito na kushindwa kuslide mapema maana angeweza kulizuia goli la Salah!!!!

Morata...wacha nisimseme sana ila kuwa wakati nilitamani tungecheza na Pedro ama Willian kama false strikers.

hayakuwa majaribu alisema wakati anahojiwa kwamba Fabregas kacheza almost kila mechi msimu huu hivyo kaamua kumpumzisha kidogo kwasababu mechi ni nyingi zaidi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka

Ni Majaribio mkuu!

Azpilicueta kacheza mechi zote, mbona asipumzishwe? Una kikosi cha striker Morata halafu creative player ni mmoja? Si unataka afie uwanjani? Hazard kajitaidi sana aisee..sema kumfeed Morata mpaka afunge si kazi ya mchezaji mmoja. Kwa Liverpool ya leo tungecheza na Kante+Drinkwater pekee ama Kante+Bakayoko bado tungeshinda ili Fabregas apate namba. Ni mzito kukaba but he is the creative engine kwenye midfield yetu. Yeye ndo wa kushuka kuchukua mipira kutoka kwa mabeki..Hazard na Morata wabaki juu...kinyume na hapo kufunga ni by chance! Hatumpendi ila tunamhitaji hahah..
 
Mimi nimeangalia mechi ya Leo, Chelsea tuliziwa sana fist half, LKN Leo bakayoko alicheza ovyo MNO, nikaomba atolewe, kocha kachelewa kumtoa hadi ameigharimu timu.
Hazard alipoteza mipira mingi ya counter attacks, Zappacosta hakutusaidia sana, big up master mind William, this is a super sub
 
Just get on with your weekend sir. Moreover, I commented as you seek for an excuse as if what you got was not what you deserved but to Liverpool it was.

Bitter truth is, that draw was the only 'win' you could get there. You should have praised your team.
Did you watch the game buddy? Or you just got up and quickly commenting in jf without any point?

Liverpool should praise to get draw not Chelsea. Go and see the stats
 
What stopped you from winning man?
 
Just get on with your weekend sir. Moreover, I commented as you seek for an excuse as if what you got was not what you deserved but to Liverpool it was.

Bitter truth is, that draw was the only 'win' you could get there. You should have praised your team.

I accept with

I accept without discord part of your assertions. Only I must add, with the squad that we have no Liverpool squad should beat us. I hope this was a lesson assiduously learnt the hard way by Conte.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom