Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni sana
Draw Anfield ni sawa tu kama mmeshinda
Ntuzu

Angalia mashabiki waliofurahi kuliko wengine utajua nani draw kwake ni ushindi!

Mimi kwangu kudraw na Liver ni sawa na kufungwa tu. Hamna kikosi cha kutufunga. It was miscalculated planning na kocha.
 
46B0E09100000578-5117029-image-a-39_1511637369864.jpg

Pamoja na kucheza dakika tatu..he is the chelsea player of the game

46B0E7A700000578-5117029-image-a-51_1511637793655.jpg

Yani huyu kipa ni pazia sijui kwa nini hatukumjaribu zaidi...
 
46B03E9100000578-5117029-image-a-19_1511632138286.jpg

James Milner tracks back into his own half to muscle in on Hazard and thwart the Belgian's run at goal

46B082B300000578-5117029-image-a-14_1511634111390.jpg

The mercurial playmaker is seized upon by Henderson and Philippe Coutinho as Liverpool look to mark him out of the game
 
Chelsea ya ukweli ya Costa haikushinda Anfield ndiyo iwe hii mdebwedo ya Morata?
Draw hiyo mmeshinda
una tatizo la kumbukumbu au? 2014/2015 season chini ya Mourinho Chelsea anakupiga 2-1 anfield mnatangulia nyinyi Emre Can anakuja kuchomoa Cahill kipindi cha pili Costa anakugonga msumari wa mwisho halafu unakuja kuongopea watu Chelsea ya Costa haikukufunga anfield unadhani kila mtu ana ubongo wa mende kama wewe
 
_78853052_diegocosta_ap.jpg

Cc: Malafyale
 
From my point of view,it was a fair result to both teams kwa jinsi zilivyocheza mchezo wa leo.
Acha utani. Pedro, Willian na fab. Wangeingia mapema liver angekufa.
Conte alishajua bakayoko na Danny hawako vizuri. Kwanini alichelewa kufanya sub.
Mpaka bakayoko anakuja kutoa pasi watu wanafunga.
 
Acha utani. Pedro, Willian na fab. Wangeingia mapema liver angekufa.
Conte alishajua bakayoko na Danny hawako vizuri. Kwanini alichelewa kufanya sub.
Mpaka bakayoko anakuja kutoa pasi watu wanafunga.

Wala hatukuhitaji wote hao. Tungetumia kikosi kile cha kawaida.

Majaribio kama haya si ya kufanyia kwenye mechi kama hizi...Kante na Drinkwater ni partnership nzuri lakini ukiwatumia hao aidha ucheze 3-4-3 Pedro acheze mbele au utumie 3-5-2 umuweke Fabregas..lazima..lazima tuwe na creative players at least wawili uwanjani.

Wings zetu zingekuwa free and creative ingesaidia ila they are not the best we could have!!!
 
Acha utani. Pedro, Willian na fab. Wangeingia mapema liver angekufa.
Conte alishajua bakayoko na Danny hawako vizuri. Kwanini alichelewa kufanya sub.
Mpaka bakayoko anakuja kutoa pasi watu wanafunga.
mkuu hujanielewa nilichomaanisha,ninachosema ni kwa jinsi timu zilivyocheza sio kwa jinsi tulivyotegemea timu zitakavyokuwa mm mwenyewe nilitegemea Fabregas ataanza lakini haikuwa hivyo ndio maana nikasema kwa jinsi timu zilivyocheza leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom