Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Kweli kabisa mkuu, ila tuombe wachezaji wasiwe majeruhi.Ila kwa sasa binafsi ninachanganyikiwa juu ya hawa wachezaji, Willian, Pedro, Hazard, Morata na Faby.
Hawa jamaa wanatulipa fadhila zetu sisi mashabiki wa Chelsea mana wanayafanya majukumu yao vzr sn.
Na hii mifumo ya Conte safari hii Hakuna team yoyote itakayo tufunga tena iwe awe away au home ni City tu ndio aliebahatisha
Nimeamini kuwa Conte Master plan