Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
No, ni kikosi kizuri sana..Tatizo liko wapi mkuu?
Sijui kama wameshacheza pamoja...kuna uwezo wa mchezaji moja mmoja na kuna team play...cohesion
No, ni kikosi kizuri sana..Tatizo liko wapi mkuu?
Naona vilio vinaanza tulieni mpigwe magoliHapo mbele sidhani kama Pedro na wilian wataelewana na morata
Hehrhe itakuwa kadi ingawa sikuona hilo.Conte hayupo kaenda wapi kwenye benchi maana goli linafungwa hapa nacheki benchi mtu anaruka simuoni
Dk tano zimewaokoa wameshinda 2-1Man city are wonderful vs Southampton
Ball possession 75%
Shot on target 11
Goal scored 1
Southampton
Ball possession 25%
Shot on target 2
Goal scored 1
Mins 90
Tumeshinda lakini, kesho tutajadiliKikosi cha leo nacho ni majaribio haya..
Labda kwa kuwa ni Swansea tutashinda...
Conte hayupo kaenda wapi kwenye benchi maana goli linafungwa hapa nacheki benchi mtu anaruka simuoni
