Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

6313ee75d9ea0a8a0613a7c66982991c.jpg
The prince of Stamford Bridge.
 
Antonio Conte has an eye on next Saturday in the big crush with Liverpool and here is the four changes which he will probably make.


af55ef28d23ab2a1c1f2c055ea1621e6.jpg


Fabregas and Bakayoko will rest today to wait the Super Saturday.

Cahill and Christensen will rest too while Moses was left in London for the trip of Qarabag..
 
Yani kuna watu walikuwa bize kumponda Cahil mpaka utamuonea huruma. Sikatai he is not our best defender lakini Rudiger wa leo hawezi kumpiga benchi Cahill. Labda msimu ujao.

Ingawa pia, ile midfield ya Bakayoko na Kante inasaidia sana ku-proof mashambulizi la sivyo hata Alonso angeaibishwa sana.
Mimi nilikuwa mmoja wao aisee! Ila nimeamini kwenye kikosi chochote its all about balance. Balance ikiwa nzuri hata mmoja akiwa mbovu anakuwa mzuri tu.
 
match ya leo ni muhimu kupata point 3 kwanza hayo mambo ya liver tutajuana jumamosi
sema wachezaji wetu watakuwa hawana muda wa kupumzika maana leo wanacheza na watatakiwa kusafiri kilomita 1800 yaani saa 24 watakuwa angani kurudi uingereza
 
Aisee kw gem hii angemueka drinkwater na kante aisee fab apmzke kdg kw ajil ya liverfool hao wengne waliopmzka n sahih kbsa ili kuongeza nguvu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom