Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

46799ADA00000578-5095659-image-a-130_1511020230771.jpg


Huyu kijana baada ya kusikia sifa alizomwagiwa Loftus Cheek naona anajitahidi kweli! He played well leo.
 
Kuna vitu vikubwa pale chelsea naomba vipite kando sana yan visitokee
1: kuachana na Conte kumchukua Ancelloti kocha ambae kaenda madrid na bayern anaeza kuchukua wachezaj wakubwa na bado kafukuzwa aje pale swala hili dah spend litokee kabisa
2: kumnunua bale £85 mchezaj ambae ni majeruh umri 28 atatutesa tu yule bora abakie huko huko madrid alipopachagua
3: kuuza mchezaj mwngne man u
4: kumuuza hazard madrid na kumsajili mchezaj kama bale kama wakimchukua hazard watupe isco sawa
Ndoto
 
Ndio. Unaweza kuona Luiz na Rudiger wameshindwa kumpiga benchi Cahill..... Cahill yuko vzr.

Ila keshokutwa ktk Champions League Luiz atacheza na Andy atakaa benchi kwa ajili ya kuwasubiri Liverpool tarehe 25 Anfield.....


Yani kuna watu walikuwa bize kumponda Cahil mpaka utamuonea huruma. Sikatai he is not our best defender lakini Rudiger wa leo hawezi kumpiga benchi Cahill. Labda msimu ujao.

Ingawa pia, ile midfield ya Bakayoko na Kante inasaidia sana ku-proof mashambulizi la sivyo hata Alonso angeaibishwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom